Who is nextHuyo kocha alikufa dakika kama hizohizo akiwa na BVB hapohapo Anfield tena referee akiwa huyohuyo
timu imekamilika saivIla Sturridge wazee leo amekuwa kwenye form sio masiala,
Hivi NEYMAR JR bado hajafuta ile kaul yake kuwa hata top 4 hatotakuwemo ya EPL
long time no seeHATUFUNGWII



Ni muendelezo wa ile ratiba yao ngumu wanayo isema, Nazani kabla ya mchezo nilisema kwamba mchezo huu utakuwa wa wazi na wamashambulizi zaidi,na kiukweli magoli yameonekana,Tuchel anapajuwa vzr Anfield na habari ameipata kwa Mara nyingine ,pia msisahau kumwambia Neymar Anfield sio mahali salama kwa wakosa adabu kama yeye nazani siku nyingine hatorudia kuropoka.

Neymar ingawa nimeanza kuangalia game dakika ya 53 sijaona alichofanya leo. Tatizo bench lao nalo chovu mno.
Mmeponea liverpool ilikua sare kabisa aseh
MkuuCome on PSG..
Neymar ingawa nimeanza kuangalia game dakika ya 53 sijaona alichofanya leo. Tatizo bench lao nalo chovu mno.
Vipi la BOBY hujaliona bado?Hakika nimeliona goli la Mbappe...View attachment 870491
Hili nalo neno. Pamoja na vimakosa vidogo vidogo anavyofanya Gomez, lakini sifa zao ninawapa. Hadi hapo watakapoweza kumzuia Hazard, the best player in Europe.Ukweli Ni Kwamba Kuna Kitu Hamutaki Kukubali! Lakini Back line Ya Liverpool Msimu Huu iko imara Kiasi Ya Kwamba inaweza Kukaba Mchezaji asionekane Anachofanya!
Hebu Angalia Muunganyiko Wa Wachezaji Kama [/B]Neymar, Cavani, Mbappe Na Di Maria[/B] Kuwazuia Wasikuumize Kunataka Ujuzi Wa Hali Ya Juu.
Nalo nimeliona..kamuiga Hazard kabisa yani.Vipi la BOBY hujaliona bado?
Hili nalo neno. Pamoja na vimakosa vidogo vidogo anavyofanya Gomez, lakini sifa zao ninawapa. Hadi hapo watakapoweza kumzuia Hazard, the best player in Europe.