Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ROAD TO CHAMPION UCL 2018/19
Game ya kwanza ktk hatua ya makundi.
Liverpool 3 Psg 2
Hahahahahahahahahaaaaaa Ihihihihihihihi
hiiiiiiiiiiiiiiiiiii...!!
...Acheni nicheke kwanza aisee! Hivi mmemwona
mjukuu wa Barbosa alivyokuwa akishangilia
baada ya kutupia goli la ushindi!
"Kuusubaladuduuu!" Yaani mjukuu wa Barbosa
aliunasa uburunge afu kama anatembea nao vile,
akafinya! Kusubaladina, mtu akagalagazwa chalii!
Afu uburunge ukakaangwa na kupigwa fimbo ya
hatari kambaaaa!! Limoyo langu likasimama kwa
sekunde kadhaa, likashtuliwa na ile mikelele ya
Kopites mule banda umiza!
Hebu funguka kisporti na kichambuzi zaidi hapa,
nini kilchokukera na nini kilichokufurahisha zaidi
ktk game hii!?
YNWA JURGEN KLOPP
YNWA MY LIVERPOOL😀
Kumbe we ndo JB
 
Kimbinu jana tulikuwa vizuri sana. Salute kwa midfield. Ila mimi kwangu jana naomba nipeleke sifa za kipekee kwa Trent Alexander Arnold dogo alikuwa na displine ya hali ya juu, nimependa alivyotusaidia kuanzisha mashambulizi. Alikuwa anakaa kwenye mstari na VVD alikuwa akimtupia mipira mirefu. PSG walishindwa kudeal na TAA.

Tungetulia wangekula 5
PSG hawana beki ya maana
Mid ndio tuliicontrol hadi raha
Sasa watasema Napoli nae kisiki
 
Umbumbumbu wako wa soka unajidhihirisha hapa!

Kama kigezo ni bajeti basi hata Anzi Muchachkala FC ingeitwa timu kubwa

Kama ni vikombe vya ndani basi Glasgow Celtic na Olympiakos nazo ni timu kubwa

Timu kubwa hupimwa na UCL na ndio maana hata timu yako inapania kumaliza angalau top 4

UCL is the most prestigious and glorious competition at the club level
It’s the league of elites!
YNWA
Matusi ni ishara ya akili ndogo.
 
-najua unakoelekea,

kwako timu kubwa ni lazima iwe na ucl ila ukweli ni huu

-bajeti

-wingi WA vikombe vya ndani n.k

Tukiziangalia timu kama mziangaliavyo nyinyi hata man city tutawaweka kundi la kina everton.

Eti Wingi Wa Vikombe Vya Ndani..

Kama Ni Hivyo Basi CELTIC Ni Zaidi Ya Barcelona na Real Kwani Hizo Hazijawahi Kuchukua La Liga Zaidi Ya Mara 5 mfululizo Wakati Celtic Tokea Magufuli aingie Madarakani Ni Yeye Anabeba Kombe La Scotland Mfululizo.

Jifunze Kuujua Mpira
 
Eti Wingi Wa Vikombe Vya Ndani..

Kama Ni Hivyo Basi CELTIC Ni Zaidi Ya Barcelona na Real Kwani Hizo Hazijawahi Kuchukua La Liga Zaidi Ya Mara 5 mfululizo Wakati Celtic Tokea Magufuli aingie Madarakani Ni Yeye Anabeba Kombe La Scotland Mfululizo.

Jifunze Kuujua Mpira
-kwa bahati mbaya anayenambia nijifunze kuujua mpira hajanambia ni kigezo gani kinaifanya team iitwe kubwa?
 
Next week ni ngumu kwenu. Head to head na Chelsea mara mbili maji mtayaita mmaah. Loser

Sisi Tunamechi Moja tu na Nyinyi Ya EPL, Hiyo ya Mickey Mouse Sisi Hauhesabu Kuwa Ni Mechi Ya Kupambana Bali Tutawaachia Nyinyi Muje Mupambane.. Wapo U23 kina Solanke na Camacho tutawatilia uwanjani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom