Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Duh mkuu, hujui kwamba psg ni miongoni mwa timu kubwa asee,
Au kuifunga imekua tabu?
Ndiyo Ninakuuliiza Ukubwa wake Ni Nini? Hebu Nipe Criteria Moja tu ya Ukubwa Wake.
Duh mkuu, hujui kwamba psg ni miongoni mwa timu kubwa asee,
Au kuifunga imekua tabu?
-najua unakoelekea,Ndiyo Ninakuuliiza Ukubwa wake Ni Nini? Hebu Nipe Criteria Moja tu ya Ukubwa Wake.
Liverpool ni moto wa kuotea mbali wakuu, kwenye ukwel tuongee ukweli tu ushabik pembeni , binafs mi sio mshabiki wa liverpool ila wapo vzuri mno na game ya jana inazd kuthibtsha hilo ...... HONGERENI WANA ANFIELD
To be honest Jana Handerson played very well more than anyone could ever know and infact on my opinion he deservedly to be rated higher than Gini and even Sturridge!Echo bhana!!! Wamemrate Hendo 8, then Gini 7, Mane 7 na Sturridge 7.
Yani Hawa Ratings zao Hazifai Hata Kwenye Mchezo Wa Kobole.
Jordan Henderson 8
The Liverpool skipper was everywhere, driving the team forward and thundering into tackles to the delight of the crowd. Comprehensively justified his recall.
Muda mwingi nimekuwa msomaji ijapokuwa ni shabiki wa kugalagaza wa Liverpool, ila kuna mengi nimejifunza hasa kutoka kwa wapinzani wanaotembelea ukurasa huu.
Wengi wa wanaochukua mafunzo ya uganga na utabiri, hili jukwaa limekuwa sehemu yao ya kufanyia majaribio. Lakini mwisho wa siku wanapotea tu.
Mtu anatoa utabiri kila mechi kuwa Liver anakufa, mara Liver anachinjwa na bado anakosea lakini hawachoki tu kuendelea na utabiri wao!
YNWA
Umbumbumbu wako wa soka unajidhihirisha hapa!-najua unakoelekea,
kwako timu kubwa ni lazima iwe na ucl ila ukweli ni huu
-bajeti
-wingi WA vikombe vya ndani n.k
Tukiziangalia timu kama mziangaliavyo nyinyi hata man city tutawaweka kundi la kina everton.
Kwa nini mkuu.?Naamini Kwa Sasahivi Hutokuja tena Hapa.
Heheee.. This is Liverpool fan at his best. Yangu ni machoNdio PSG hiyo
Mlete Messi na Ronaldo
Hii ndio ligi yetu
UCL ni mali yetu
Wewe kachukue Europa na futuhi
Liverpool fanPSG ni timu ndogo sana
Ni dharau sana LFC kufungwa na PSG au Chelshit
Ynwa
Liverpool fanmtapata taabu sana msimu huu maana hii Liverpool inawashangaza wengi hivyo nyie jipeni kazi ya kuizima ila hamtaweza....kwa sasa wewe pambana na kombe la Alhamisi la mchangani, Liverpool sio saizi yako tafadhali....wewe kawaambia Arseno ambao mpo wote Dondoo Cup
Vipi kuhusu goli la firmino uliona alichofanya?Kimenikera tu kitendo cha Mo salah kutupa chupa baada ya kifanyiwa sub,kaonyesha utovu wa nidham pale.
Sijaona kiongozVipi kuhusu goli la firmino uliona alichofanya?
Well,Angalia youtube!!Sijaona kiongoz
Alifanyaje mkuuVipi kuhusu goli la firmino uliona alichofanya?