Sasa Kama Hamujifanyi Kuwa Liverpool Ni Rivals wenu Kwanini Mukawa Munaikomalia Zaidi Liverpool Kwa Kila Mechi Tokea Msimu Ulipoanza? Na Kibaya Zaidi Munjifanya eti Nyinyi Liverpool Ni Mpinzani Wenu Mkubwa Kiasi Ya Kwamba Mechi Yenu vs Liverpool Munaipa Promo Kuwaaminisha Watu Ni Big Match while ukweli Ni Kwamba Ni Mechi Ya Kawaida tu Ambayo Sisi Liverpool Tunaona Ni Sawa na Mechi Tunayocheza vs Bolton.
Sisi Kwetu Kwa EPL big Match Ni MOJA tu!!
Liverpool vs Man United
Lakini Hii Liverpool vs Chelsea Kwetu sio big Match wala sio match ya Upinzani Bali Ni Match ya Kawaida tu kama Tunavyocheza na Swansea Ya Kutafuta Points 3.
So, Acheni Kutafuta Promo Kupitia Liverpool Kujifanya eti Ni Mpinzani Wenu wakati Liverpool na Man United hazina Mpinzani London.