SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Ugoro pakti moja kwa huyu kasuku please!!!
Bado najiuliza tunataka ubingwa kweli au mitambo inatestiwa? Gem ya tatu hii tunapiga mpira mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
So far kwenye top 6 kuna timu yoyote imepiga mpira wa kuaminika?
Ujinga aliofanya sijawahi kuuona ukifanywa na kipa yeyote, atajifunza
sasa ule uzembe vipi si angeutoa nje tu huo mpiraKuna kipa asiefungwa?
![]()
![]()
mkuu leo ni kichapo
Dalili zote zinaonyesha
E&K
Wewe na man u mmebakiza historia tu ..sasa hivi mambo yamebadilika ..tunasonga mbele historia hazina nafasi kwa sasa.There are only 2 true contenders in the EPL
LFC and ManU
The rest are pretenders
Numbers don’t lie!!!
Kwa hiyo we unajiita team kubwa kwa kutwaa UCL basi hata mimi ni team kubwa maana nimeshalibeba piaUtafananisha UCL na EPL?
Usingegombea top 4 basi!
Bado timu yako ni club ndogo sana kulinganisha na the KOP
Respect to ManU only in the EPL cause they are our true rivals but not Chelsea.
NUMBERS DON'T LIE!!
Bado mwezi September haujafika kwako?Hata VVd anaweza akajifunga tu ..kujifunga kupo mkuu. Kama ukizidiwa lazima ujifunge. Wewe jua kabisa kwa Chelsea huchomoki..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo we unajiita team kubwa kwa kutwaa UCL basi hata mimi ni team kubwa maana nimeshalibeba pia
E&K
So far kwenye top 6 kuna timu yoyote imepiga mpira wa kuaminika?
na anaongoza Ligi pointi 12...na leo alikua ugenini...