Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katika makundi mepesi sana uefa, basi kundi C litakuwa kundi jepesi sana.

Sababu:

Liverpool huna kikosi cha kupafomu michuano yote effectively.

Kwa sasa timu nying za EPL zimejihimarisha vilivyo kiasi kwamba utaitaji uwezo wa ziada kushinda game. Liverpool ina wachezaji wachache wenye uwezo huo.

Huna backup ya kutosha kwenye benchi. Kikosi ulichonacho icho icho kitacheza ligi, Uefa, Fa, Carabao ivyo akina salah, mane watachoka sana.

Hivyo PSG na Napoli watapita kiulaini tena bila kupingwa kwa sababu tajwa hapo juu.

Msimu uliopita ulifika fainal kimazabe pia angalia uli risk makombe mangap ili kufika fainal? Pia timu nyingi ulizokutananazo hazikuwa vizuri na mtu kama Salah, Mane walikuwa na wakati mzuri.

Je ya mwaka jana yanaweza kujirudia? Jibu ni hapana.

Hivyo ni bora Klopp awekeze zaidi kwenye EPL maana Uefa hafiki popote msimu huu.

Mbele ya PSG na Napoli hutatoka salama. Hivyo makundi mepesi ulaya ni kundi C, A, E, D, F na magumu yanaweza kuwa ni B, H, may be na G.

Sent using Jamii Forums mobile app
Napoli ipi hiyo ya kumfunga Liverpool aisee

Kama kawaida yenu, mimi nasubirigi pale mnaporudi kusema mmebahatisha.

Otherwise jiandae, tunakutana Mara 2 mwezi huu.
 
The unbeaten SG8
Steven Gerrard as Rangers FC manager:
12 Matches
6 Wins
6 Draws
0 Defeats
18 Goals Scored
8 Goals Conceded
Unbeaten in SPFL.
Qualified for Europa League Group Stage.
What. A. Start.
 
Kuendana na comment ya jana ya Klopp juu ya
Mignolet na alichopost Paul Joyce leo
inaonekana Simon Mignolet alikataa kujiunga
Fulham ili aendelee kula mshahara wake
mnono Liverpool kuliko ule ambao angeenda
kula kule Fulham.
Pia kwa Lazar Markovic ameamua pia
aumalizie mkataba wake wa Liverpool kisha
mwishoni mwa msimu atakuwa mchezaji huru.
Hii inaitwa Money kwanza career baadae.
 
Utabiri wa gemu ya leo na Leicester City vipi...mimi naona tunatengeneza clean sheet nyingine.
 
Katika makundi mepesi sana uefa, basi kundi C litakuwa kundi jepesi sana.

Sababu:

Liverpool huna kikosi cha kupafomu michuano yote effectively.

Kwa sasa timu nying za EPL zimejihimarisha vilivyo kiasi kwamba utaitaji uwezo wa ziada kushinda game. Liverpool ina wachezaji wachache wenye uwezo huo.

Huna backup ya kutosha kwenye benchi. Kikosi ulichonacho icho icho kitacheza ligi, Uefa, Fa, Carabao ivyo akina salah, mane watachoka sana.

Hivyo PSG na Napoli watapita kiulaini tena bila kupingwa kwa sababu tajwa hapo juu.

Msimu uliopita ulifika fainal kimazabe pia angalia uli risk makombe mangap ili kufika fainal? Pia timu nyingi ulizokutananazo hazikuwa vizuri na mtu kama Salah, Mane walikuwa na wakati mzuri.

Je ya mwaka jana yanaweza kujirudia? Jibu ni hapana.

Hivyo ni bora Klopp awekeze zaidi kwenye EPL maana Uefa hafiki popote msimu huu.

Mbele ya PSG na Napoli hutatoka salama. Hivyo makundi mepesi ulaya ni kundi C, A, E, D, F na magumu yanaweza kuwa ni B, H, may be na G.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umechambua kishabiki sana binafsi psg na napoli si timu za kuisumbua liverpool labda klopp alale
 
Katika makundi mepesi sana uefa, basi kundi C litakuwa kundi jepesi sana.

Sababu:

Liverpool huna kikosi cha kupafomu michuano yote effectively.

Kwa sasa timu nying za EPL zimejihimarisha vilivyo kiasi kwamba utaitaji uwezo wa ziada kushinda game. Liverpool ina wachezaji wachache wenye uwezo huo.

Huna backup ya kutosha kwenye benchi. Kikosi ulichonacho icho icho kitacheza ligi, Uefa, Fa, Carabao ivyo akina salah, mane watachoka sana.

Hivyo PSG na Napoli watapita kiulaini tena bila kupingwa kwa sababu tajwa hapo juu.

Msimu uliopita ulifika fainal kimazabe pia angalia uli risk makombe mangap ili kufika fainal? Pia timu nyingi ulizokutananazo hazikuwa vizuri na mtu kama Salah, Mane walikuwa na wakati mzuri.

Je ya mwaka jana yanaweza kujirudia? Jibu ni hapana.

Hivyo ni bora Klopp awekeze zaidi kwenye EPL maana Uefa hafiki popote msimu huu.

Mbele ya PSG na Napoli hutatoka salama. Hivyo makundi mepesi ulaya ni kundi C, A, E, D, F na magumu yanaweza kuwa ni B, H, may be na G.

Sent using Jamii Forums mobile app

Priority yetu ni UCLna EPL tu
Kama unaijua history ya Liverpool toka 1970s utaelewa hilo
Hizo Carabao na FA tunawaachia nyie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom