makaj
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 318
- 376
Kujiamini kupita kiasi
Na iwe hivyoKlopp ataongea naye, inabidi awe makini sometimes.
TAA naye anahitaji kupumzishwa hapandiahi mashambulizi kabisa. Angalia upande wa Robertson ule upande unapanda. Aingie Moreno kuongeza nguvu. Goli moja halitoshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
TAA naye anahitaji kupumzishwa hapandiahi mashambulizi kabisa. Angalia upande wa Robertson ule upande unapanda. Aingie Moreno kuongeza nguvu. Goli moja halitoshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ameona kapteiiin alivyo cheza ametoka kila mtu aone tofauti
Sijawahi ona midfildi inaogopa mpira
Hajazingua ila anazurula tu uwanjani hadi katolewa ndo kidoogo tumepata ahueni ila bado gem ngumuKazingua kwani? Sijaangalia gemu
Amejipatia zawadi ya goli, lakini kuna magoli aliyasevu aisee mpaka nikasema huyu jamaa mchawi, beki leo imezingua sana,
Kitu na box leo ni kilio kwa wana Liverpool
E&K
Moreno acheze beki mbili?
Nimezipenda Sub ila nilipendelea atoke Milner, lakini tukigeukia kwa sub ya kumtoa Salah amepatia maana jamaa sijui mashabiki wamempa kichwa sana maana amekuwa mmaliziaji mbovu sana kwenye chances nyingi siku hizi! Pamoja na kucheza hovyo hovyo!