Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijaona tatizo.
Modern game has changed so much.
Kipa sio tena kunyaka na kubutua au kuokoa kwa kupiga mpira mbele bila purpose yoyote.
Kipa ni extra man kwenye central defenders.
Nimemwelewa Pep kwa nini amemsajili yule mbrazil aliye nae sasa hivi.
As long as he’s confident with himself shwari tuu
Kuna delays anazifanya anapurudishiwa mpira, kuna siku itazaa goli na nadhani atajifunza.

Halafu VVD anamchezesha sana mpaka wanakaribia kuharibu.

Hili kosa la leo tuliliongelea last week, shukrani kwamba limetokea leo na tumeshinda.

We learn through mistakes.

It's a win.
 
Sarri: kocha pekee EPL ambae hajashinda kikombe cha aina yoyote ile mahala popote pale na nchi yoyote ile
 
Hili kosa la leo tuliliongelea last week, shukrani kwamba limetokea leo na tumeshinda.

We learn through mistakes.

It's a win.

Kuna Mambo Huwa Alisson hafanyi Kwa Bahati Mbaya Bali Ni Nature/Style Yake Ya Uchezaji. Kwahiyo Hawezi Kuyaacha Kwa Kuhofia Mistakes! Chamsingi Ni Kuwa Awe Makini Tu Katika Style Yake Hiyo.
 
Alishatahadharisha Mapema
GBWA-20180901171854.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mambo Huwa Alisson hafanyi Kwa Bahati Mbaya Bali Ni Nature/Style Yake Ya Uchezaji. Kwahiyo Hawezi Kuyaacha Kwa Kuhofia Mistakes! Chamsingi Ni Kuwa Awe Makini Tu Katika Style Yake Hiyo.

Ni kweli mkuu, confidence kuna muda inakusaliti, ule mpira alijaribu kuugonga kwa kisigino hakuufikia na jamaa alimzidi nguvu.

Alikuwa na room ya kupiga mbele mapema kabla hajafikiwa, na hii delay na confidence ndo iliyo haribu.

Tunajifunza na atajifunza pia.
 
Mimi Mwenzenu Kuanzia Mwezi Huu Nitakosa Mautamo Kwa Miaka Mingi ijayo Coz Nimepata Uhamisho Serikali Imenipangia Kazi Mkoani Ambako Hakuna DSTv wala Ukijiunga Bando 3G & 4G haipandi Bali inasoma E tu Kwahiyo Naishia Kuangalia Game Kwenye LiveScore ndiyomana Leo Nimeshindwa Kufanya Analysis ya Aina yoyote hile.
 
Mkuu hili jukwaa una umuhimu sana, sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom