IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,747
- 7,110
Maneeeee
![]()
![]()
mkuu leo ni kichapo
Dalili zote zinaonyesha
E&K
Kitu na box leo ni kilio kwa wana Liverpool
E&K
Mkuu huu ndo ukweli wenyewe."Weee leicester nipe furaha mimi jumamosi iende poa kabisa"..natania wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
haha sasa mkuu ukiwa siriyasi kwenye kila sekta utapata tabu sana.Na ni kweli umeprove we jamaa kuwa huwa hauuchukulii mpira seriously
Baada ya kuiona tu lineup yetu ya leo nikaahirisha na kuicheki game yenyewe ingawa niliitamani sana. Makocha na wachezaji wetu vichwa vyao ndio vinatupa ukame wa mataji pale Anfield
Iyo priyority yenu ndo itafanya mkose kila kitu msimu huu na misimu inayofuata.Priority yetu ni UCLna EPL tu
Kama unaijua history ya Liverpool toka 1970s utaelewa hilo
Hizo Carabao na FA tunawaachia nyie
Leo liverpool anapigwa kwa mara ya kwanza na uwezo wa kloop utaanza kujadiliwa humu jukwaani
E&K
Hahaha una ota ndoto za mchana mkuu. Siamin kama Liverpool watabeba kombe lolote miaka ya hivi karibuni.it's early doors yes...but our legend looks a real deal as a manager.
miaka 5 ijayo baada ya Klopp kutuletea 3 EPL & 1 UCL trophies, SG8 aje achukue mikoba yake na kui "Zinedine Zidane" UCL!!
Kitu na box leo ni kilio kwa wana Liverpool
E&K
![]()
![]()
mkuu leo ni kichapo
Dalili zote zinaonyesha
E&K
Hiki sio kichekesho ni kinunio muda mfupi ujao
E&K