OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mkuu hakuna ushabiki wowote ...labda wewe ndo umeleta ushabiki, angalia kwa makini kikosi cha Napoli halafu uje na PSG halafu linganisha na kikosi cha Liverpool.Hapa umechambua kishabiki sana binafsi psg na napoli si timu za kuisumbua liverpool labda klopp alale
Kitakachoibeba Liverpool labda uwe ni uwezo binafsi wa wachezaji.! lakini hapo ana wakati mgumu sana wa kupita makundi.
Sent using Jamii Forums mobile app