Sina shaka kabisa atanet 20+ msimu huuSadio Mane anaweza kunet-in magoli zaidi ya ishirini EPL kama akiendelea na makali haya!
Lei 0 vs Liv 1 dakika ya tisa
Sina shaka kabisa atanet 20+ msimu huuSadio Mane anaweza kunet-in magoli zaidi ya ishirini EPL kama akiendelea na makali haya!
Lei 0 vs Liv 1 dakika ya tisa
mpe na shung'waa moja achanganyieMhudumu ongeza Chibuku please!
Mpatie Eden Kimario Balimi crate 1
️ Sadio Mane
️ BobLeicester wako namtandika 4g hapohapo kwake tena natoa na clean sheet

Only ManU fans ndio nitawaagizia Windhoek, Hainneken ama Bud because of the respect I have for our true rivals! Respect
The rest mpewe Chibuku na Balimi
Wewe ni mammluki. Hakuna respect yeyote apo!Only ManU fans ndio nitawaagizia Windhoek, Hainneken ama Bud because of the respect I have for our true rivals! Respect
The rest mpewe Chibuku na Balimi
Kwa Malengo ya mechi zijazo sio? Kweli kabisa, halafu naona kama Bob leo anarusha sana miguu juu,Apumzishwe Milner kwa mtizamo wangu
Apumzishwe Milner kwa mtizamo wangu
Kwa Malengo ya mechi zijazo sio? Kweli kabisa, halafu naona kama Bob leo anarusha sana miguu juu,
Sent using Jamii Forums mobile app