Once upon a tymView attachment 788463
BREAKING NEWS: Reliable Reports from France suggests Liverpool have made a €55m bid for Monaco midfielder Fabinho.
Fabinho is top player and fit Klopp system than Jorginho,Jorginho fit to Pep system .Can is Juve player pending to medicalHii Habari imekuwa Viral Katika Media Na inamake sense huenda ikawa Ni Kweli.
Mimi Siwezi Kucomment chochote Kuhusiana Na Performance Yake Coz siko Familiar naye Sana Katika Kucheza Kwake Kwahiyo Sijui uwezo Wake ukoje? Labda Munaomfahamu mutatwambia.
Fabinho Ni Defensive Midfielder! Iwapo Klopp atamsajili FABINHO it means Emre Can tayari ameshaaga kuelekea Juve.
Na Jengine Ni Kuwa Ujio Wa Fabinho unamaanisha Klopp ameshajitoa Katika Kumuania JOGINHO.
Jifariji tu but huna timu ya kumfunga madrid hasa katka finali
waarabu hawaView attachment 788564
Kushabikia Mchezaji Bila Ya Kuishabikia Timu ipo hiyo! Hata Mimi Ninaichukia Barcelona Kuliko! Na Kila inapocheza Huwa Naiombea ifungwe! Huitakia Ushindi Pale inapocheza Na Real tu. Lakini Mimi Ni Fan Mkubwa Sana Wa Leonel Messi Na Kila Mwaka Hutaka Achukue Balon D'Or
hapa kazi kazi...kufungwo Fainali sio mwisho wa dunia kisoka...hapa aje kipa,beki mmoja na straika wa kati na tutakua ready to rock...View attachment 788728Saafi sana Klopp
Kwa hiyo tunaenda kwenye penati ??Liverpool kafungwa na kipa Karius
Mapenzi yenu kwa Madrid yanafanya muwe vipofu!
Benzema kama sio bao la kupewa alifanya nn hadi anatoka?CR alifanya nn?
Bao pale ni la Bale na sisi la Mane
1-1 bila upuuzi wa Karius
Kwa hiyo tunaenda kwenye penati ??
Ulitaka mfungwe kwa sababu ya nani ?Kwnza mm natofautiana na notion kama tumefungwa kwa sababu ya Karius na Salah kuumia
Kwangu tumefungwa sababu ya kipa tu!Mane kasawazisha bao na kawapa njaa hadi akagonga mwamba!
Bao hizi za kipuuzi zimeamua nani we bingwa UCL wala sio umahiri wa akina CR7
Milner anaweza kucheza kama RB,LB,DM & CMTumepiga ndege Watatu kwa jiwe moja FABINHO anaweza kucheza Holding .Right back .na Hata Wingback
We are Liverpool hahahaha
Well done Manager
Kloppppppp