one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,311
Usajili mzuri sana wa Fab huyu jamaa hana mbwembwe lakini anafanya kazi yake kwa umakini holding, ataongeza defence yetu kuwa imara sana anajuwa kulinda back 4. sababu anatumia mguu wa kushoto ataweza kumfanya Robertson kuwa anapanda mbele kila wakati na yeye kucover side. Nimependa style hii ya usajili kimya hakuna hata media waliona hii inakuja hii ni dalili nzuri naamini tutasikia mengi mazuri. nadhani Klopp anapanga kucheza 4.2.3.1 Fekir mbele na nyuma yake front 3 wetu. maana Fab na Keita watasimama nyuma. baadhi ya mechi tunaenda 4.3.3 kati Keita, Fab na Wid au Oxy. miliner na ender watakuwa squad players mwisho wa siku tunahitaji kikosi kikubwa. Now lete goalkeeper wa maana tuko vizuri. tutakuwa na team wanafit different system.