Bora kuweka pazia goliniHuyu kipa mhh
Imekuwaje tena mzee wa liver?HUYU KIPA KILICHOBAKIA NI KUNYONGWA TU

Miujiza hakuna dadaanguAnyway tusubiri dakika 90 miujiza bado ipo!!!
Shiiiiii tuko msibani uwe unatoa faraja bana!!!!!Miujiza hakuna dadaangu
Ndio zimeisha hivyoAnyway tusubiri dakika 90 miujiza bado ipo!!!
Labda mtashinda njaaWametumizia Salah aise
Ila sisi Liverpool tutashinda tu.