Hahaaa tangu mwanzo nlikuwa na hii feelingHahaa G.Bale form aliyonayo kwasasa sio ya kubeza

Karius=Carelessdah! Karius again
Uchambuzi kesho leo kutoa pole tu...... habari yako kijana nimekumiss!!!Ni nafasi yenu sasa ndugu wachambuzi kutoa uchambuzi wenu sasa
Nkamu gwangu ndaga Malafyale.... pole sana kapumzike tu.Tunashukuru sana Karius
Mungu akubariki Karius
Simba 10 kanaume kamoja kajinga!
Nipe maoni yako kutoka kwa Isco kuingia kwa BaleMadrid washapaniki.
Kumtoa Isco ni kosa kubwa mnoo
Utabiri wako umetimiaMpaka Sasa Hakuna Wa Kuniaminisha Kuwa Tutafungwa Kwa Sababu Katoka Salah!
Hata Hivyo Sub ya Emre Can ninaikubali Zaidi Kuliko Ya Adam Lallana
Niko poa aisee, naona umekuja kutoa pole kwa niaba ya chama lakoUchambuzi kesho leo kutoa pole tu...... habari yako kijana nimekumiss!!!
Jamani mngekuja tuwaazime kijana wetu mikono saba hahahahahah!!! Mshumaa umezimwa ghaflaaa poleni jamani poleni !!! Ndo soka hilo NkamuTunashukuru sana Karius
Mungu akubariki Karius
Simba 10 kanaume kamoja kajinga!
Teeeeenaaaaaaa!!!!........Season Ya 2017/18 imeshamalizika:
× NO TROPHY
√ ONLY IMPROVEMENT
× NDANI YA MISIMU 3 YA LIVERPOOL, KLOPP AMESHAPOTEZA FAINALI 3 MFULULIZO.
LEO NAJIRIDHISHA KUWA KLOPP KWENYE FAINALI HATA ACHEZE NA NJOMBE MJI BASI ATAPOTEZA.
