Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu bado tu hujajua falsafa za uyo Klopp? Huyu ni kocha anayetengeneza timu inakuwa ya kiushindani lakini sio timu ya kichukua kombe lolote lilee.. refer alivyokuwa Dortmund.

Liverpool itakuja kuwa kama Tottenham tu ..itakuwa nzuri sana lakini sio kwa kuchukua makombe.


Kwani Klopp alipokuwa Dortmund Hakuchukua Kombe lolote au Unakariri #JF tu.
 
Hizi Ni Miongoni Kwa Evidence Zinazoonesha Kuwa [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Karius[/HASHTAG] Wameimarisha Ukuta Wetu Kwa Kiwango Zaidi ya Sana.


Screenshot_20180415-141758.png
 
Utani Mzuri huu! Nadhani Harry Kane Asipopata Ufungaji Bora basi Atajutia Kitendo cha Kuiba Goli la Mchezaji Mwenziwe.

Jordan Henderson had a laugh at Harry Kane's expense after Liverpool's 3-0 win on Saturday, joking that Mohamed Salah would be credited with all three goals.
Have you seen what did karius say... hahah
Screenshot_2018-04-15-11-49-18.jpg
 
Hizo Zimekaa Powa Kuliko Hizi Tulizokuwanzo Season hii!
Halafu Hile Red yetu Ya Asili Naona wenye Timu Wameamua Kuachana Nayo badala Yake Wameamua Moja Kwa Moja Kutumia Hii Dark Red.
dark red siyo sababu ya muonekano wa picha?

Hako ka-button sijakaelewa tu
 
Vv
Hizi Ni Miongoni Kwa Evidence Zinazoonesha Kuwa [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Karius[/HASHTAG] Wameimarisha Ukuta Wetu Kwa Kiwango Zaidi ya Sana.


View attachment 745274
Vvd na karius n Lovren pamoja na makocha wa defence wamejitahidi sana...honestly ile 75m waliochukua St Marys seems like a good bargain maana huyu VVD kutoboresha sana idara hio...
 
Mo aside this
Andy Robertson 7

Kept the dangerous Fraser in check and was always eager to get forward and help the attack. Like so many of his team-mates, playing with such confidence.
Mo aside this kid is the real deal..so far sijaona mistake leading to goal...guys thought aiii from Hull city atakua bencher warmer maana wen others were spending millions Klopp saw talent at a cheap price n so far Moreno atasubiri sana
 
Apa asaiv naona mko wengi sana, au kisa timu inapata matokeo mazuri!? Baada ya gemu yenu na Roma muwe hivi hiv ..sio mnakuwa wengi timu ikifanya vizuri tu.

Hichi ni kipindi cha neema kwenu, kipindi cha majanga kinakuja mjiandae.
mkuu tupo kwa raha na shinda, si unajua You il Never Walk Alone
 
Liver hana ubavu wa kuifunga Real, huu ndio ukweli, labda idondokee tu bahati siku hiyo. Hata The Kops mnajua hili.
Ubavu tunao, na hata huko nyuma tulishampiga, not once, not twice.
When it comes to champions league final our record is super, tumeingia finali sita tumebeba mara tano!
 
Mechi za awali hizo, treni ilikuwa haijashika moto. Hata CR7 enzi hizo alikuwa hovyo kila mtu akawa anasema umri hatimaye umefika kumbe shughuli ilikuwa haijaanza.
Sasa inakuwaje Spurs alitolewa na Juve iliyotolewa na Real??
Na juzi pale Santiago Barnebeu Madrid walipobebwa na refa treni ilikuwa haijashika moto???
Jamani acheni kukariri, Liverpool kwenye hii Champions League ya msimu huu ndiyo the only team ambayo haijafungwa so far.
Be warned...
 
Na juzi pale Santiago Barnebeu Madrid walipobebwa na refa treni ilikuwa haijashika moto???
Jamani acheni kukariri, Liverpool kwenye hii Champions League ya msimu huu ndiyo the only team ambayo haijafungwa so far.
Be warned...
......A typical english man (ingawa ni Mtz), very optimistic but always comes down crashing!!
Poa bhana, tutatafutana yawezekana hata maada ya mechi ya Roma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom