Madrid ndo mwisho wake hapo hawezi watoa hao wajukuu wa HitlerLiver hana ubavu wa kuifunga Real, huu ndio ukweli, labda idondokee tu bahati siku hiyo. Hata The Kops mnajua hili.
Madrid ndo mwisho wake hapo hawezi watoa hao wajukuu wa HitlerLiver hana ubavu wa kuifunga Real, huu ndio ukweli, labda idondokee tu bahati siku hiyo. Hata The Kops mnajua hili.
Buyern ndio mwisho wao, hawawezi mtoa bingwa wa kihistoria wa UEFA na bingwa mtetezi mara mbili mfululizo.Madrid ndo mwisho wake hapo hawezi watoa hao wajukuu wa Hitler
Kitu kimoja cha muhimu hakijakaa sawa, 1981, sasa ni 2018.another good omen?
![]()
Gary Lineker
✔@GaryLineker
The last time the 4 semi-finalists were from Italy, England, Germany and Spain was in 1981. The winners were Liverpool.
2:19 PM - Apr 13, 2018
according to the bookies - immediately baada ya semis draw kukamilika leo - LFC wamekuwa joint favourites with R Madrid kubeba ndoo ya UCL. wote wana 33.3% probability ya kuwa UCL champions.another good omen?
![]()
Gary Lineker
✔@GaryLineker
The last time the 4 semi-finalists were from Italy, England, Germany and Spain was in 1981. The winners were Liverpool.
2:19 PM - Apr 13, 2018
hahahahaaa!Kitu kimoja cha muhimu hakijakaa sawa, 1981, sasa ni 2018.
Wamekutana vibonde wote lolote laweza tokea ila Bayern namwona ana nafuu liver yoyote hapo anajipigia kapu la magoliBuyern ndio mwisho wao, hawawezi mtoa bingwa wa kihistoria wa UEFA na bingwa mtetezi mara mbili mfululizo.
Hizi odds bila shaka zimechukuliwa Uk. Hivi unajua kuwa waingereza wanaamini kuwa Harry Kane ni the best striker in the world now na pia wanaamini liver ni favorite wa UCL??according to the bookies - immediately baada ya semis draw kukamilika leo - LFC wamekuwa joint favourites with R Madrid kubeba ndoo ya UCL. wote wana 33.3% probability ya kuwa UCL champions.
yep, another good omen!
![]()
Paddy Power
✔@paddypower
Champions League outrights after the draw:
2/1 Liverpool
2/1 Real Madrid
9/4 Bayern Munich
15/2 Roma
inawezekana mkuu. Waingereza wanapenda kusifia visivyosifika!Hizi odds bila shaka zimechukuliwa Uk. Hivi unajua kuwa waingereza wanaamini kuwa Harry Kane ni the best striker in the world now na pia wanaamini liver ni favorite wa UCL??
Pia wanaamini wanabeba ndoi ya kombe la dunia??
Kibonde Real?? Bila shaka umeweka mahaba mbele zaidi.Wamekutana vibonde wote lolote laweza tokea ila Bayern namwona ana nafuu liver yoyote hapo anajipigia kapu la magoli
here's another good omen..according to the bookies - immediately baada ya semis draw kukamilika leo - LFC wamekuwa joint favourites with R Madrid kubeba ndoo ya UCL. wote wana 33.3% probability ya kuwa UCL champions.
yep, another good omen!
![]()
Paddy Power
✔@paddypower
Champions League outrights after the draw:
2/1 Liverpool
2/1 Real Madrid
9/4 Bayern Munich
15/2 Roma
plenty of good omens...here's another good omen..
Liverpool have lost just one of their five previous meetings with Roma in all competitions (W2, D2, L1).
Madrid hana mpira wowote wa kutisha unazuzuka na jina tu gemu ya juzi we mwenyewe uliona mlivovushwa kimuujizaKibonde Real?? Bila shaka umeweka mahaba mbele zaidi.
here's another one....not bad to be part of a hefty list of good omens for us wajameni...plenty of good omens...
Liverpool have scored the most goals in this year's Champions League campaign (33 goals) - Roma have scored the fewest goals of all semi-finalists (15).
Gemu zote alizocheza na totnham sikuona mpra wa maana akikutana na front trio ya liver Madrid anaoga kapu la magoli na uzuri juve wameshatuonesha kichochoro cha kupitia ni kule kwa maseleKibonde Real?? Bila shaka umeweka mahaba mbele zaidi.
Mechi za awali hizo, treni ilikuwa haijashika moto. Hata CR7 enzi hizo alikuwa hovyo kila mtu akawa anasema umri hatimaye umefika kumbe shughuli ilikuwa haijaanza.Gemu zote alizocheza na totnham sikuona mpra wa maana akikutana na front trio ya liver Madrid anaoga kapu la magoli na uzuri juve wameshatuonesha kichochoro cha kupitia ni kule kwa masele
Mie mpaka dakika hii najua juve alinyongwa na refa Madrid ilikuwa hamtoboiMechi za awali hizo, treni ilikuwa haijashika moto. Hata CR7 enzi hizo alikuwa hovyo kila mtu akawa anasema umri hatimaye umefika kumbe shughuli ilikuwa haijaanza.
Sasa inakuwaje Spurs alitolewa na Juve iliyotolewa na Real??
Mechi za awali hizo, treni ilikuwa haijashika moto. Hata CR7 enzi hizo alikuwa hovyo kila mtu akawa anasema umri hatimaye umefika kumbe shughuli ilikuwa haijaanza.
Sasa inakuwaje Spurs alitolewa na Juve iliyotolewa na Real??