Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa Nimeshafahamu Kuwa Washabiki Wa Mmorocco Wamekomaa na Liverpool itolewe na Roma Kwasababu Wanaogopa Wasijekutana Nayo.
Na watatolewa na Roma, Real au Buyern ni daraja kubwa sana kwenu kuvuka. Mtashinda kwa maneno, iko wazi. Ktk timu zilizobaki liver ni underdogs isipokuwa kwa mashabiki wa liver, liver ni favorite.
 
Mara ya mwisho Liverpool kuingia semi final ya UCL ni mwaka 2007 ndio maana mnaongea sana ,wakati real Madrid amecheza semi Mara ya nane mfululizo.Madrid hawachongi sana sababu wanaona kawaida sana

Real Madrid Hawachongi Sana Kwasababu Wanajua Hawana Ulazima Wa Kujituma Wakati Marefa Wa Kuwapeleka Fainali Kwa Njia Za Panya Wapo.
 
Na watatolewa na Roma, Real au Buyern ni daraja kubwa sana kwenu kuvuka. Mtashinda kwa maneno, iko wazi. Ktk timu zilizobaki liver ni underdogs isipokuwa kwa mashabiki wa liver, liver ni favorite.

Next Week Nakuomba Uje Tena Hapa Usije Ukajipiga Ban mwenyewe Katika Huu Uzi
 
√ Wamekutana Mara 5 Katika [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]:

√ Liverpool Kashinda Game 3 Moja ikiwa ni Kombe uwanjani (Final) 1981.

√ R. Madrid Kashinda Game 2.

View attachment 746410
tena hio mechi ya mwisho Gerrand aliwekwe benchi na kwa kweli ali mind...Rodgers siku hio alichemka sana.
Hii tuliowachapa 4 enzi ya Benitez walikua wanaombea mpira uishe. Hata sasa wakivuka kwa the Bavarians tutakwenda sawa tu..
In Klopp we trust
 
Liver mnachonga sana,nyie mtakufa pale katikati casemiro,modric, kroos na isco .sioni mtawezaje kucontrol game
 
Liver mnachonga sana,nyie mtakufa pale katikati casemiro,modric, kroos na isco .sioni mtawezaje kucontrol game
Mkuu unazungumzia fainal wakati hata nusu haijachezwa?hii inaonesha hutaki watu wengine waenjoy the moment kwa sababu wewe timu lako linaharibu huko!!Kausha tulia hio Madrid yenyewe haijafika fainal na usiwachukulie bayern poa wanahasira na wapo vizuri kama kuna muda wa wao wakuifunga Real basi ni this time.
 
Nyie wenyewe hampiti Kwa AS Roma
 
Mkuu Wewe Waangalie tu Hao Washabiki Wa Refereedrid Wanavyojishauwa lakini Wajue tu Kuwa Hapo Nusu Ndiyo Mwisho Wao Katu Wasifikirie Kuwa Watafika Fainali.
Haha sindo hapo jamaa kashatupekeka fainal mara anasema tena nusu hatupiti!Wasubirie wafunge magoli ya offside au wapewe penati tuu ila bayern mwaka huu lazima aue mtu
 
Alan Shearer, staa wa zamani wa Blackburn, Newcastle United na timu ya taifa ya England anaamini kwamba staa wa Liverpool, Mohamed Salah anastahili kuwa mwanasoka mwanasoka bora wa msimu huu Ligi Kuu ya England.

Salah mpaka sasa anaongoza kwa kufunga mabao katika Ligi Kuu ya England akiwa amefikisha mabao 30 huku kwa ujumla akiwa amefunga mabao 40 katika michuano mbalimbali msimu huu. shearer anaamini kwa dhati kwamba De Bruyne amefanya makubwa lakini Salah anatisha.

Kwa Mo salah kufunga mabao 30 katika msimu wake wa kwanza Liverpool ni mafanikio ya ajabu. Ni mchezaji wa nane katika historia ya Ligi Kuu ya England kufikia idadi hiyo, katika orodha ambayo mimi mwenyewe pia nipo.” Alisema Shearer.

Na Salah amefanya hayo akiwa sio mshambuliaji wa kati moja kwa moja kama nilivyokuwa mimi au mpinzani wake katika kiatu cha dhahabu, Harry Kane. Ni kitu kizuri ukijua kwamba unakwenda uwanjani na utafunga bao. Sio mara nyingi katika maisha yako ya soka utajisikia hivyo.” Aliongeza mkongwe huyo.

Kwa fomu ambayo anayo sasa, ndivyo ambavyo Salah anajisikia kila wakati anaposimama katika mlango wa kuingilia uwanjani kabla ya mechi. Hakuna ambaye alitazamia kama angekuwa moto wakati ananunuliwa na Liverpool katika dirisha kubwa lililopita.” Aliongeza Shearer.

Kw akweli kulikuwa na wasiwasi wakati Liverpool ilipolipa kiasi cha pauni 34 milioni kwa ajili yake, hasa kwa namna jinsi kipindi chake kwa Chelsea kilivyokwenda. Kwa sasa anapata kura yangu ya kuwa mchezaji bora wa mwaka.”

Nilisema ningesubiri kuona mechi ya Liverpool ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya dhidi ya Manchester City ambavyo ingekwenda kabla ya kuamua nani anastahili tuzo kati ya Salah au Kevin De Bruyne. Lakini kwa Salah kufunga mechi zote hizo mbili na kuipeleka timu nusu fainali kwa sasa namchagua yeye.”

De Bruyne amekuwa bora sana na kwa mara nyingine alikuwa bora Jumamosi dhidi ya Tottenham. Lakini nafahamu kuna ugumu gani katika kufunga mabao na ndio maana ningempa kura yangu Salah ambaye kwa sasa ana mabao 40 katika michuano yote Liverpool.”

Kauli ya Shearer ni mwendelezo tu. tayari mpinzani wa Salah, De Bruyne amekiri kwamba staa huyo wa kimataifa wa Misri anastaili kuteulizwa kuwa mwanasoka bora wa England mbele yake.

Nadhani kama hautamchagua yeyote kutoka katika timu yetu basi yeye anastahili. Nadhani ataenda kutwaa kwa namna yoyote ile. Amekuwa mkali sana na kushindana na mtu ambaye anafunga mabao mengi ni vigumu sana kushinda. Nimeridhishwa na kiwango changu cha msimu huu, pamoja na kiwango cha timu.” Alisema De Bruyne.

Kwa vile wachezaji wa timu moja hawaruhusiwi kupigiana kura, De Bruyne anadia kwamba kama angeweza kufanya hivyo basi kura yake ingeenda kwa kiungo mwenzake wa Manchester City, David Silva.

Kwangu mimi, kama ningeweza kupiga kura kama ningempigia David Silva. Jinsi alivyokuwa katika matatizo na mwanae na siku zote amekuwa akisafiri, bila ya mazoezi, lakini kwa jinsi alivyocheza, amekuwa bora sana. lakini Salah anastahili pia kwa kweli.”
 
Napoli star Jorginho has got Liverpool fans very excited by 'liking' an Instagram post suggesting he should move to Anfield this summer.

The Brazilian-born midfielder liked a post on Instagram in which a fan posted a compilation video of his season so far and asked, ‘Should we sign Jorginho?’

Source: Metro
 
Source: Metro[/URL]
Kama akija atatufaa sana huyo...
 
Haha sindo hapo jamaa kashatupekeka fainal mara anasema tena nusu hatupiti!Wasubirie wafunge magoli ya offside au wapewe penati tuu ila bayern mwaka huu lazima aue mtu
Match 5 za mwisho kati ya real na Bayern ,Bayern kafungwa zote
2012 2-1
2014 1-0,4-0
2017 2-1,4-2
Sasa sijui Madrid tunaanzaje kumwogopa bayern
 
Match 5 za mwisho kati ya real na Bayern ,Bayern kafungwa zote
2012 2-1
2014 1-0,4-0
2017 2-1,4-2
Sasa sijui Madrid tunaanzaje kumwogopa bayern
Zote Madrid anakuwa na wachezaji wengi uwanjani mapema kabisa!
Bayern anakuwa anapewa kadi za ajabu sana kumpa Madrid mchezaji wa ziada!
Martines alipewa kadi dakika ya 60 kufanya Madrid atawale kwa dakika 30 zote!
Vidal alipewa kadi dakika ya 83 mechi ikaenda kwenye OT kwa dakika karibia 40 Madrid akawa zaidi uwanjani!
Hapa PSG Madrid alicheza akiwa zaidi uwanjani
Hata Juventus alikuwa zaidi uwanjani
11-11 Madrid hawezi mtoa Bayern
11-11 Madrid hawezi mtoa Liverpool
 
Match 5 za mwisho kati ya real na Bayern ,Bayern kafungwa zote
2012 2-1
2014 1-0,4-0
2017 2-1,4-2
Sasa sijui Madrid tunaanzaje kumwogopa bayern

Nyinyi Ni [HASHTAG]#Refereedrid[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom