Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jordan Henderson vs Bournemouth

√ 82% passing

√ 2 chances created

√ 1/1 aerial duel

√ 4/6 tackles - most on the pitch

√ 3 interceptions
 
Liverpool imepata Clean Sheet 8 Katima Michezo Yake 12 iliyopita. Na imeConcede Magoli 5 tu Katika Michezo hiyo 12 na Kufunga Magoli 29.

√ Halafu Anatokea Mpumbavu aliyejaa Chuki Anajifanya Haoni Ubora Wa [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] na Mabadiliko Aliyoyafanya Katika Defence Yetu.

√ Anatokea Mjinga Mpaka Leo Anaamini Kuwa Liverpool Haiwezi Kulinda Magoli Yake Wakati Anajua Wazi Tokea Aje [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] hakijawahi Kutokea Kitu Kama Hicho.

We Have A Best Centre Back in [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]
 
LIVERPOOL MANAGER AND PLAYER RATINGS


Jürgen Klopp 9

He wants to keep the winning momentum going and was rewarded with fine performances all over the pitch. The Champions League has been a great adventure so securing qualification again was given its proper importance.
 
Loris Karius 7

A spectator for almost the entire game bar the odd punch clear, he did make a bizarre albeit effective save at 2-0 which spared everyone any late jitters.
 
Trent Alexander-Arnold 8

Tested Begovic with a first-half free-kick, and put in a few fine, teasing crosses before his brilliant pass from the right created Salah's excellent header.
 
Virgil van Dijk 8

At ease once again, a bigger rating than Lovren because of his organisation and command that's made a real difference to the Reds in the second half of the season.
 
DF Dejan Lovren 7

Efficient enough without being really tested, he again combined well with the other defenders. Injured late on, hopefully not seriously -- and that hasn't been said a lot during his Anfield career, a measure of how well he's played lately.
 
Andy Robertson 7

Kept the dangerous Fraser in check and was always eager to get forward and help the attack. Like so many of his team-mates, playing with such confidence.
 
Jordan Henderson 9

Put in a good cross for the opener, another fine pass sent Mane away and sprayed the ball around with real authority, as well as covering ground and making challenges. Even did a backheel. Fantastic.
Gini Wijna
 
Gini Wijnaldum 7

Back in a more advanced role, kept Liverpool on the front foot and helped out defensively when required. Really got around the pitch and used the ball well.
 
Alex Oxlade-Chamberlain 8

A couple of great slide tackles and lung-busting runs early on set the tone for an impressive display. Distribution very good and engine superb, and was only missing a goal for his efforts. Assisted Firmino's third.
 
Mo Salah 8

Only the final touch was lacking during another dangerous first half display, with the Bournemouth defending often last ditch. Could have had a penalty, and then notched a truly brilliant header for his 40 goal of the season.
 
Sadio Mane 8

Slammed home the opener at the second attempt and was a threat whenever in possession, either with his pace off the mark or box of tricks. Quieter second half, but job was done.
 
Mo Salah 8

Only the final touch was lacking during another dangerous first half display, with the Bournemouth defending often last ditch. Could have had a penalty, and then notched a truly brilliant header for his 40 goal of the season.

Mo salah
Haia Salaaaaaaaah
Yaaaghabaluuuu
Yaaaghabaluuu
Yaghabaluuuuu
Haaaaiiiiyaaaaahhhh Salaaaaah
 
There is something bigger than football
justice for the 96
[HASHTAG]#JFT96[/HASHTAG]
IMG_20180415_123613.jpg
 
Utani Mzuri huu! Nadhani Harry Kane Asipopata Ufungaji Bora basi Atajutia Kitendo cha Kuiba Goli la Mchezaji Mwenziwe.

Jordan Henderson had a laugh at Harry Kane's expense after Liverpool's 3-0 win on Saturday, joking that Mohamed Salah would be credited with all three goals.
 
Apa asaiv naona mko wengi sana, au kisa timu inapata matokeo mazuri!? Baada ya gemu yenu na Roma muwe hivi hiv ..sio mnakuwa wengi timu ikifanya vizuri tu.

Hichi ni kipindi cha neema kwenu, kipindi cha majanga kinakuja mjiandae.
 
Mkuu wachezaje wengi ni majeruhi,mpaka msimu ujao ndio watakuwa fit wotewatakuepo.

Tumeshasajiri wachezaji na tunampango wa kuongeza,mchezaji kama naby keita Tayari msimu ujao yuko Liverpool tumeshalipa cash.
mkuu klopp ni master class utaumia sana roho kumchukia klopp,huu ushindi wa Liverpool wa sasa unawauma sana? Mtaendelea sana kuumia klopp anakaribia kuwapata wachezaji anaowataka.

Na wachezaji wa bei rahisi hao hao anafanya maajabu epl na uefa,nawachezaji wenu wa gharamA mmeaga mashindano .

mtu kama robertson kamtoa hull city kwa paundi mil8,lakini hao wachezaji wa wamahela mengi wanashindwa kumpita,waulize man City na wawanamjua vizuri

Mkuu hujui mpira wewe.hata msimu huu mlisema hatuna lolote,tumewaonesha kazi mnabaki mnasema tena msimu ujao tena,mlifikiri mkitumia hela nyingi kwenye kusajili ndio mtachukua uefa?

Mlisema pia kwa man City watatutoa sasa mmeamia kwa roma chuki zitawauwa ,na msimu huu uefa tunachukua kombe.
Mkuu bado tu hujajua falsafa za uyo Klopp? Huyu ni kocha anayetengeneza timu inakuwa ya kiushindani lakini sio timu ya kichukua kombe lolote lilee.. refer alivyokuwa Dortmund.

Liverpool itakuja kuwa kama Tottenham tu ..itakuwa nzuri sana lakini sio kwa kuchukua makombe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom