[HASHTAG]#Klopp[/HASHTAG] in the pre-match interview: [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] doesn't have 25 players to call upon, which in a way forces him to select the same players week in week out. If we're going to challenge, we need a stronger squad, not just numbers.
Lallana no more × ......
Matip no more × ......
Sturidge no more × .....
Hao ↑↑ ni injury prone
Can dilemma × .....
Origi dilemma × .....
Klavan dilemma × .....
Hao ↑↑ hatma zao zipo mashakani hazijuilikani.
Hatuna Depth Kabisa Katika Front Three (Salah, Firmino na Mane) Kwani Kuwa na Solanke na Ings Haiitwi ni Depth.
Na Vile vile Kuondoka Kwa Coutinho, Kuumia Kwa Lallana na Sintofahamu Ya Can imeondosha Depth Kabisa Katika Midfield Kiasi Ya Kwamba Ni Milner Pekee Ndiye Back up ya Watu Watatu iwapo ataumia Mmoja Wao (Gini, AOC na Henderson), Na ikitokezea Wakiumia Wawili Kati Yao Basi Tutarajie U23 aje azibe Nafasi.
Na Centre Back pia Hatuna Depth Kwani Kabakia Klavan Pekee ndiye Back Up ya VVD na Lovren.
Only Full Backs ndiyo Tuna Mbala Zaidi Ya Wawili.
Sasa Kutokana Na Nguvu Nyingi Tunazotumia Season hii Kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] (Top Four) na [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] basi Next Season itatulazimu Klopp Asajili Wachezaji Ambao Wana Uwezo Wa Kuanza ili Tuongeze Depth Ya Kikosi Chetu! Vinginevyo Timu itakuja Kuchoka na iwe balaa.