Na wao WANASEMA, afadhali tumepewa LIVERPOOL ila tusiwadharau. Hivi unafikiri kati ya real na buyern, Roma au Liver, nani anataka akutane nao??tumepata Roma kwenye semis lakini tusiwadharau.
Roma ni kama Porto lakini tusiwadharau!Na wao WANASEMA, afadhali tumepewa LIVERPOOL ila tusiwadharau. Hivi unafikiri kati ya real na buyern, Roma au Liver, nani anataka akutane nao??
Nao wanasema hivyo hivyo, HAWAWADHARAU. Kati ya Buyern, Real na Liver, hapa hata Yanga wangechagua Liver.Roma ni kama Porto lakini tusiwadharau!
oh, nilidhani wewe ni Roma. kumbe unawasemea?Nao wanasema hivyo hivyo, HAWAWADHARAU.
Nao wanasema hivyo hivyo, HAWAWADHARAU. Kati ya Buyern, Real na Liver, hapa hata Yanga wangechagua Liver.
Mimi ni The Gunner.oh, nilidhani wewe ni Roma. kumbe unawasemea?
ITALIAN JOB bado haikakamilika.Tumepewa vijana wa Pope
Umeeleweka vizuri sana mtanange mkali kati ya Roma na liver mshindi ndo atanyanyua kwapaFainali inachezwa NUSU FAINALI. BIngwa atapatikana NUSU FAINALI.
NAFIKIRI MIMEELEWEKA.
tumepata Roma kwenye semis lakini tusiwadharau.
Liver hana ubavu wa kuifunga Real, huu ndio ukweli, labda idondokee tu bahati siku hiyo. Hata The Kops mnajua hili.Umeeleweka vizuri sana mtanange mkali kati ya Roma na liver mshindi ndo atanyanyua kwapa
Ilikamilika j4 baada ya kumnyoa upara mungu mtu barca!ITALIAN JOB bado haikakamilika.
Good Omen?
Liverpool and Roma is a repeat of the 1984 European Cup final, won by the English club on penalties after a 1-1 draw at Roma’s Stadio Olimpico home.