xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Na ukijifanya bingwa wa gegen pressing utaishia kuona wenzio wakinyenyua makwapa.Ukilipaki bus basi utaishia kushangilia wenzako UCL
Na ukijifanya bingwa wa gegen pressing utaishia kuona wenzio wakinyenyua makwapa.Ukilipaki bus basi utaishia kushangilia wenzako UCL
aaaaaa mkuu kabla VvD hajaja hali ilikua mbaya sana ila kwa sasa tunafaidi sana mashabiki...in Klopp we TrustNililijua Mwanzo Hili Kuwa Man City atamuiga Mourinho Kushambulia Upande Wetu Wa Kulia Wakiamini Kuwa Lovren & TAA Ni Watenda Makosa lakini Leo Klopp Kawalisha Viapo Na Wamekomaa Kinoma Mpaka Sane Anamuombea TAA aumie.. 😀😀😀
Nadhani Wapinzani Wetu Wameshafahamu Kutoa £75m Kwa Ajili Ya Beki [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG]
Robertson yule dogo ni moto wa kuotea mbali aise.Leo Anord alexander nimensifu maana city walihamisha kijiji kwake lakini Dogo kasimama kiume walizani watamkimbiza kama ile last match. Ila ROBERTSON NYOKO YAANI WANAMUOGOPA WANAMKIMBIA KABISA DEBRUNE NA UBORA WAKE WOTE KAWA KAMA YATIMA AKIPATA MPIRA WANAMPA SANE MAANA WANAJUA MZIKI WA ROBERTSON MARLEYHATA STERLING KAINGIA LAKINI HAWAMPI MPIRA MAANA WANAJUA ROBERTSON ATAMUWEKA MFUKONI KAMA ALIBMVYOMFANYA DEBRUNE
Sizani kama itawezekana hasa Emre can akiwepo natumai tutafungana sio kutufunga na kututoaKama wanavyosema mpira ni dk 90 bado hatujui next game man city watapindua matokeo au vp
Mlipokuwa mnaambiwa timu zote zilikuwa zinaogopa kukutana na Liverpool mlidhani ni utani?
Hapo ni Anfield...!
Na ukijifanya bingwa wa gegen pressing utaishia kuona wenzio wakinyenyua makwapa.
Na ukijifanya bingwa wa gegen pressing utaishia kuona wenzio wakinyenyua makwapa.
Mkuu tubakize manenoTo be Honest! Leo Ninachohitaji Tushinde tu Ushindi Wa Aina Yoyote Hule I don't care about Clean Sheet! Alimradi Nataka Tushinde tu Hata Kama 4-3.
Coz Kwa Beki Ya Lovren na TAA pamoja na Defensive Midfielder ya Hendo sijipi Guarantee yoyote ya Clean sheet Manake Hawa Jamaa muda wowote wanaweza Kusababisha Majanga out of nothing.
Kwapa la ucl nanyanyua liverNa ukijifanya bingwa wa gegen pressing utaishia kuona wenzio wakinyenyua makwapa.
Tayari klopp ameconfirm yuko poaSalah kaumia
Jamani jamani inaniuma sana!
Vijana leo wamecheza vizuri sana,yaani kwenye kuwakaba wale wakina sane na silva yaani man to man.mpaka wamepoteana
Jaribu kutafuta kumbukumbu vizuriKuna mechi Liverpool first half waliongoza 3-0,dhidi ya Dortmund,second half Dortmund halafu goli 4.tuwe na akiba ya maneno
Naamini man city hawez kushinda kwa different ya 3 plus pale etihad so liver kazi keshamaliza hapo anfieldSizani kama itawezekana hasa Emre can akiwepo natumai tutafungana sio kutufunga na kututoa
Hata Mimi hii Gemu inanichanganya.Jaribu kutafuta kumbukumbu vizuri
HahahahahView attachment 734660
Hivi Umeona Wapi Bingwa Wa Ulaya Mara 5 Kutolewa Kwenye Michuano ya [HASHTAG]#Ulaya[/HASHTAG] na Robofainalist? Kweli inaingia Akilini??? 😀😀😀