Wamechoma huku mkuuCity wanachomoa zote 2nd half
Kiongozi.Tuna advantage kubwa Kwan wao wana yellow kad nying Zaid za kiungo na forwad zao mbil so Naamin Fainal tunacheza Y.N .W A
Kuna mechi Liverpool first half waliongoza 3-0,dhidi ya Dortmund,second half Dortmund halafu goli 4.tuwe na akiba ya manenoHatujui Na nani,tunaojua mpira,biashara imeisha hapo.unataka kulazimisha city apite ,yaani kwa city hakuna kitu hapo kila mtu mpira kauona .city wangekuwa vizuri wasingeshindwa kupata goli .halafu jifunze kutofautisha kati ya epl na uefa hii ni uefa mkuu.liverpool akiwa uefa automatically anakuwa mnyama.city ubabe wake uko epl .endelea kuota mchana


HATA STERLING KAINGIA LAKINI HAWAMPI MPIRA MAANA WANAJUA ROBERTSON ATAMUWEKA MFUKONI KAMA ALIBMVYOMFANYA DEBRUNEThis is Liverpool
Sipati picha tukipata watu wanaostahiki pale kati dah jamaa anambinu kali sanaKlopp msimu ujao atasumbua EPL,tusubiri tu
tumekomaa mkuu sio Champions league hatua hizi...hapa ni kutulia n kutafuta ushindi Manshit kwa heriTatizo la Liver huwa wanakimbiza mwizi na kusahau kufunga mlango.
Mlipokuwa mnaambiwa timu zote zilikuwa zinaogopa kukutana na Liverpool mlidhani ni utani?Siamini macho yangu Liverpool kuwafunga man city kiasi hiki ambao ni top ya EPL
Leo Anord alexander nimensifu maana city walihamisha kijiji kwake lakini Dogo kasimama kiume walizani watamkimbiza kama ile last match. Ila ROBERTSON NYOKO YAANI WANAMUOGOPA WANAMKIMBIA KABISA DEBRUNE NA UBORA WAKE WOTE KAWA KAMA YATIMA AKIPATA MPIRA WANAMPA SANE MAANA WANAJUA MZIKI WA ROBERTSON MARLEYHATA STERLING KAINGIA LAKINI HAWAMPI MPIRA MAANA WANAJUA ROBERTSON ATAMUWEKA MFUKONI KAMA ALIBMVYOMFANYA DEBRUNE
hawa jamaa ki ukweli hua hawana bahati kuifunga Liverpool Anfield .....leo vijana walimsikiliza mwalimu vizuri...VVD kaja kutuokoa pale nyuma pana afadhali sana...Siamini macho yangu Liverpool kuwafunga man city kiasi hiki ambao ni top ya EPL
Kifuatacho ndiyo hicho mkuu...Kweli kabisa Kiongozi.
KLOPP afanye maajabu kama ya RAFAEL BANITEZ.
Msimu wa 2004/2005.
Mbona inawezekana sana
Hahahahah nimegee hiyo mkuu nani aliitoa hiyo kauli??Mlipokuwa mnaambiwa timu zote zilikuwa zinaogopa kukutana na Liverpool mlidhani ni utani?
Hapo ni Anfield...!