Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Everton babu tupate sare sio na Chelsink wapo in deep shit kwa rythym yetu kwa sasa watapigwa tu morale yao imeshuka sana...all in all Top 3 here we come...one step ahead tulipomaliza msimu uliopita hapo poa sana


Everton Ni Derby na Chelsea Ni Big Match! Kwahiyo Game hizi Ni Unpredictable na Hazitakuwa Nyepesi Kama Tunavyodhani that is why nimeziekea some Percentage ya Kupoteza Michezo hii, Hii Ni Possibility na sio Lazima iwe Ni hivyo.


Everton hawezi tufunga
Akijitahidi sana ni sare kwake
 
Sasahivi Liverpool FC ipo Katika Defensive Crisis baada ya Matip, Gomez na Klavan Kutopatikana Kwenye Mchezo Wa Leo!

Beki Tulionao Ni [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Lovren[/HASHTAG] tu! Klopp ameamua Kumwita Beki Wa [HASHTAG]#Academy[/HASHTAG] [HASHTAG]#U19[/HASHTAG] Conor Masterson Kufanya Mazoezi na Senior Team ili Kuwa Tayari Kwa Ajili Ya Kutumika in case Limetokea Tatizo Kwa Lovren au VVD.

Now Timu Yetu imepungua Depth Katika Defensive Line Kwahiyo Klopp Ni Lazima Next Season afanye Usajili Kwa New Talented Centre Back before something get worst.
Kwani Watoto Wa Academy huwezi kuwategemea Kwenye [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG].

• Klavan ×
• Lovren ×
• Matip ×
• Only VVD √
 
To be Honest! Leo Ninachohitaji Tushinde tu Ushindi Wa Aina Yoyote Hule I don't care about Clean Sheet! Alimradi Nataka Tushinde tu Hata Kama 4-3.

Coz Kwa Beki Ya Lovren na TAA pamoja na Defensive Midfielder ya Hendo sijipi Guarantee yoyote ya Clean sheet Manake Hawa Jamaa muda wowote wanaweza Kusababisha Majanga out of nothing.
 
Confirmed Line-Up:

Liverpool:
Karius
Alexander-Arnold
Lovren
Van Dijk
Robertson
Milner
Henderson
Oxlade-Chamberlain
Mane
Salah
Firmino.

Subs:
Mignolet, Clyne, Wijnaldum, Moreno, Ings, Solanke, Masterso
 
Leo Klopp awe makini na Kuupa Maelekezo Ya Hali ya Juu Upande Wetu Wa Ulinzi Wa Kulia ambako Kuna TAA na Lovren kwani Upande Huu Ni Very weak na Man City Huenda Wakatumia Udhaifu Wa Upande Huu na Kuelekeza Mashambulizi Yao Yote Kupitia Kulia.

Na Midfield area Combination ya AOC-Hendo-Milner Ni nyepesi Kwahiyo itambidi Mane na Firmino washuke Chini Kuja Kukimbiza Mpira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom