FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Kwa mpira wa jana wa dogo nikajikuta najiuliza ile siku alishindwaje kummark MRF?
Kwa mpira wa jana wa dogo nikajikuta najiuliza ile siku alishindwaje kummark MRF?
Kwa mpira wa jana wa dogo nikajikuta najiuliza ile siku alishindwaje kummark MRF?
Ndugu zangu liver nashukuru kazi yangu mmeitenda ipasavyo.Naimani liverpool mtawatoa man city, i believe on you, mkitulia mkatandaza soka lenu vizur, simuon man city anapoponyokea.
Weka na mengine, au kwingine ulikatazwaLFC 5 times UCL champions
Arsenal 0
Chelsea 1
ManU 2 sijui 3
ManCity 0
Tottenham 0
Ynwa!!!!
Nitakuja kubadilisha msimamo wangu siku akiwasaidia kuchukua kombe lolote lile.Halafu Njoo Tena Useme [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] Ni Sawa na Phill Jones Wakati Mabadiliko Aliyoyaleta Kwenye Defence ya Liverpool Kila Mtu anayaona.
Sisi ndiyo tulikuwa nyuma 3-1 tukaja kushinda 4-3 kwa bao la Sakho!
MAN City sasa atakuwa na adabu akija Anfield
Kila la kheri, ila isije ukawa unaota ndoto nyevuKwapa la ucl nanyanyua liver
Khaswaa, atakuwa anajiandaa na siyo ubabaishajiLovren 90+
Hata kipindi cha kwanza umiliki tulizidiwa tulichotakiwa ni kuondoka na clean sheet ambayo kiuhalisia city wanatakiwa washinde 4-0 second leg (ni ngumu tena ngumu sana i mean haiwezekani)kuliko wangepata 1 or 2 goals kwao second game ingewezakuwa rahisiJamani naombeni sababu za Liverpool kupoteza umiliki wa mpira kipindi cha pili ukilinganisha na kipindi cha kwanza, ukiondoa sababu ya Salah kutoka baada ya kuumia...!!!
Wala hukuwahi kuhisi kama tungefika hapa, ulizani man u chelsea na cty tu ndio wenye uwezo wa kufika hapaLiver bado wana ile tendency ya kuvizia mechi za UEFA.
Pamoja na hilo siwawekei dhamana, mna asilimia kubwa ya kuvuka hapa lakini siwaweki kwenye list ya u champion.
Tunae Mo Salah , au hukuona kuwa na huyo atakuwa pia kikwazo kwa Madrid?Kikwazo kwa timu zote ni RONALDO. Huu ndio kweli. Kama timu, yeyote atakayekutana na Liver atakuwa na wakati mgumu sana ila sio Madrid hii ya Ronaldo. Naiona Barca nyanya kabisa kwa Liver tena home amd away kama watapangiwa.