kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Tatizo la timu zinazoremba uingereza ndio hufanya man city awe mbabe.Klopp ni kocha mzuri sema ligi ya England hakuizoea,akiipatia watamkoma
Mpira wa man city ni speed and accuracy,ukimuacha atembee peke yake,lazima atakukimbiza sana.
Nawapongeza Liverpool hawapendi ujinga ujinga wa kuremba,ndio maana city akifunguka na wao wanafunguka na matokeo ndo hayo