Mie Hasimu wako uwanjani japo ukikipiga namie hufurukuti, lakini mpaka sasa nikupe hongera, unamfundisha Mou jinsi ya kuwafunga kiwepesi hawa jamaa, ila namhurumia kocha wangu kibri chake kinatucost kwenye mechi muhimu, hajui kama kuna umuhimu wa kulinda heshima japo hatuchukui ubingwa!Leo Klopp awe makini na Kuupa Maelekezo Ya Hali ya Juu Upande Wetu Wa Ulinzi Wa Kulia ambako Kuna TAA na Lovren kwani Upande Huu Ni Very weak na Man City Huenda Wakatumia Udhaifu Wa Upande Huu na Kuelekeza Mashambulizi Yao Yote Kupitia Kulia.
Na Midfield area Combination ya AOC-Hendo-Milner Ni nyepesi Kwahiyo itambidi Mane na Firmino washuke Chini Kuja Kukimbiza Mpira.