Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Carragher: “He gets knocked over again, gets bullied, accept he’s stronger than you. Use your brain.”
Mechi ijayo ntakuja hapa kukugesabia point nyingine mtakayopoteza.
huangalii Man U wewe, hatuna winga wa kulia sijui mwaka wa ngapi huu, siku zote tunatokea kushoto anapocheza Sanchez/Rashford/martial (kulia kwenu). hivyo beki wenu wa kushoto alikuwa salama sababu hatukuchezesha huyo winga wa kulia na sio eti mna beki mzuri.Mtu anaweza Akajiuliza Kwanini Upande Wetu Wa Ulinzi Kushoto Ambako anachezea ROBERTSON na VVD ulikuwa salama Kwa 100% kutokana na Mashambulizi ya Man United na Hakukufanyika Shambulizi Hata Moja la Hatari?
Jibu Ni Kwamba Klopp baada ya Kumueka Benchi Moreno n Kumnunua VVD kafanikiwa 100% Kutengeneza Upande Wa Kushoto Kiasi Ya Kwamba Kwa Sasa Ni Adimu Kuconcede Goli Kutokea Upande Wa Kushoto.
Lakini Mourinho anajua Kwa 100% kuwa Udhaifu Wa Liverpool Ni Upande Wa Kulia ambako Yupo LOVREN na TAA ambao TAA Ni inexperienced Full back, na Lovren Ni untalented Centre Back. So Mourinho Aliamua Kutarget Upande Wetu Wa Kulia Mwanzo mwisho na akafanikiwa jambo ambalo Klopp Hakuligundua.
Kwahiyo Ni Wazi Kuwa Hata Champion League Klopp asipokuwa Makini Upande Huu Wetu Wa Kulia Utakuwa Targeted sana Kwani Kupita Kwa Lovren Ni Kazi Rahisi Kuliko Kupita Kwa Yussuf Mlipili Wa [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG].
Now Klopp afanye maamuzi magumu na Zaidi Target Yake ya De Vrij iwe Ni Ya Kumchukua.
huangalii Man U wewe, hatuna winga wa kulia sijui mwaka wa ngapi huu, siku zote tunatokea kushoto anapocheza Sanchez/Rashford/martial (kulia kwenu). hivyo beki wenu wa kushoto alikuwa salama sababu hatukuchezesha huyo winga wa kulia na sio eti mna beki mzuri.
Sikufurahia sana alipoaanza Ox badala ya Ginni kwenye midfielders wetu game ya jana. Kulikuwa na bad selection kwenye xi . TAA alitakiwa aanzie bench na nafasi yake angecheza Milne ambaye ni mzuri pia kwa kupanda na kupeleka mashambulizi. pale alipocheza Milne jana angecheza Ginni ambaye kashaonekana akicheza pamoja na Can wanakuwa na combo nzuri kuliko anapocheza ni Ox.
backline yetu ilipaswa kuwa hivi
milner...lovren...vvd.....robertson
hapo kati palitakiwa kuwe midlle wa3
Can.....Ginni.......Ox
kule mbele tuna maliza kama kawa
Salah......Firminho.......Mane
Kitendo cha kuchezesha attaking mid watatu na kukosa holding midfielder ndio imetugharimu kwa kipigo cha jana. Timu ilicheza vizuri haswa kipindi cha pili. Makosa yaliyofanywa na mabeki wetu hasa TAA na Lovren tungekuwa na mtu kama ginni ambaye anacheza game kwa kutumia nguvu hakika tungekuwa imara zaidi.
Hili Ndiyo Tatizo la Kubishana na Mtu aliyekuwa Hajawahi Kucheza Hata Chandimu!!!!
By the way! Kumbe Mimi Ni Bakhressa ninaeshindana na Juma Nature! Bora Nikuache tu nisikuquote.
Have a nice day.
You are so stupid man, josee hajawahi kucheza professional football ila ni kocha bora kuliko huyo bottler wenu, Neville brothers walikua wachezaji professional ila walishindwa kui manage valencia, so i don't know what is your point here
Chandimu ni professional football?You are so stupid man, josee hajawahi kucheza professional football ila ni kocha bora kuliko huyo bottler wenu, Neville brothers walikua wachezaji professional ila walishindwa kui manage valencia, so i don't know what is your point here
You are so stupid man, josee hajawahi kucheza professional football ila ni kocha bora kuliko huyo bottler wenu, Neville brothers walikua wachezaji professional ila walishindwa kui manage valencia, so i don't know what is your point here
Jamani kwa nini "you can't me"I can't you!!!!!!
Tatizo mkuu unajifanya unajua sana mpira wakati mpira haukupendi. Kuonesha kwamba hujui mpira ni kitendo cha kuwa shabiki bendera (hukubali kuelimishwa). Kwa akili yako 'fupi' bado unaamini Liverpool ni bora kuliko Man City, United na Chelsea.Hili Ndiyo Tatizo la Kubishana na Mtu aliyekuwa Hajawahi Kucheza Hata Chandimu!!!!
Mimi Nazungumzia "Shambulizi Kutokea Upande Wa Kulia" wewe unanitajia eti "Winger Wa Kulia" !!!!!
Hivi Kwani Shambulizi Kutokea right side Ni lazima uwe na Winga Wa Kulia??
Hebu Jifunze Tofauti ya Kubagua Kati ya Shambulizi Kutokea Upande Wa Kulia na Winga Wa Kulia! Kwani Mchezaji Yoyote Hata Kama Ni Midfielder anaweza Kutengeneza Shambulizi Kwenda Upande Wa Kulia.
Jengine fahamu Mantiki ya post yangu kuwa Haimaanishi Mourinho aliogopa Kupitia Upande Wa Kulia!!!
Bali nilichokikusudia Ni Kwamba Mourinho alitazama Wapi Palipo na Uzaifu zaidi! Yani alitumia Principle za "Elections" kuwa Siku Zote zinakwenda hule Upande wenye low resistance.
By the way! Kumbe Mimi Ni Bakhressa ninaeshindana na Juma Nature! Bora Nikuache tu nisikuquote.
Have a nice day.