Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo mkuu unajifanya unajua sana mpira wakati mpira haukupendi. Kuonesha kwamba hujui mpira ni kitendo cha kuwa shabiki bendera (hukubali kuelimishwa). Kwa akili yako 'fupi' bado unaamini Liverpool ni bora kuliko Man City, United na Chelsea.
Kashkaji kanajifanya kajuaji alafu kanaongeaga pumba kinoma, kuna sehemu kamejifananisha na Bakhresa

Kamenikera kalivyo mdharau chief mkwawa, chief mkwawa kaanza kuangalia mpira kenyewe hata shule ya msingi hakajaanza.
 
Duh!
 
Namuona Mshambuliaji Wetu Harry Wilson Akitumbukiza Goli la Pili akiwa na Kikosi Cha Hull City ambacho Anakichezea Kwa Mkopo.
 
Nimeona game ya Man U vs Seville!
Ni ngumu sana kuamini kama Man U hii inamfunga Liverpool!
Anyway ndiyo soka lkn Man U BADO sana jamani
Tunakubali tu matokea kwa our own silly mistakes

Mkuu mechi ya Liverpool na man u ,man u kapata shot on target 2 na hizo hizo Ndio magoli ,hayo magoli de gea alikuwa anaanzisha kwa kumpigia lukaku lukaku anaruka kwa kuupiga mpira huo kichwa kwa mtu wa mbele yake Baada ya hapo ni goli,kwa staili hiyo kwanini wasifungwe na sevilla.
 
Upo sahihi mkuu
Liverpool tumejifunga wenyewe mechi na Man United
Hawa hawana kitu,inauma sana kupoteza zile points
 
Hivi niseme karibu eeeh, au kwenye msiba hamna kukaribishana.
Asante mkuu tushapoa

Kukaribishana msibani kupo, tukitoka msibani kwenu usiku wa leo hii nadhani tutaamia kwa jirani yetu mwingine huyo wanamuitaga mvaa blauzi nasikia kazidiwa kweli na uwezekano wa kufika kesho ni mdogo sana.
 
Tetesi

Liverpool ina hamu ya kutaka kuwasilisha ombi la kumsajili mshambuliaji wa Ujerumani na RB Leipzig mwenye umri wa miaka 22 Timo Werner. (Independent)
 
Barca HAITISHI
Mabao yote matatu kipa wa Chelsea kawafungisha wenzake!
Bao la kizembe dakika ya 3 ndiyo liliwatoa mchezoni!
YYT aje hiyo Ijumaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom