ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Acha mbwembweCool down kijana, ndiyo maana ya kuwa archrival...lazima tukupeni hizo "uppercuts"!
Acha mbwembweCool down kijana, ndiyo maana ya kuwa archrival...lazima tukupeni hizo "uppercuts"!
Timu 8 zilizofuzu hatua ya robo fainali ya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG].
Real Madrid
Liverpool
Juventus
Manchester City
Sevilla
AS Roma
Bayern Munich
FC Barcelona
Utabiri (Prediction) Wangu Kwa Tutakaye Kutana Naye Unaenda Hivi!
1) Liverpool vs Manchester City (90%)
2) Liverpool vs Real Madrid (85%)
3) Liverpool vs Bayern Munich (80%)
4) Liverpool vs AS Roma (80%)
5) Liverpool vs FC Barcelona (75%)
6) Liverpool vs Juventus (70%)
7) Liverpool vs Sevilla (60%)
NOTE: Hapana aliyekuwa yupo Below 50%
RATIBA KAMILI YA NANI ATAKUTANA NA NANI ITAPANGWA NA KUTANGAZWA KESHO IJUMAA 16/03/2018 SAA 13:00 KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI.
teh hao wawili hapo juu una maanisha kweli?Siombei nikutane na Juventus sababu ya defensive mind na kama unavyojua watu wetu watatu wa mbele wakibanwa muda mrefu wanachanganyikiwa!
Mm naombea tukutane na hawa wanao cheza mpira ndiyo wazuri kuwapiga!
Bring Barca
Bring Madrid
Bring Seville
Wanaitwa the buluzzzzzzz wenyew wanajiita wa darajani. Vyema kabisa karibu halafu baadae tutaenda wote kwa jirani maana majirani wana roho ngumu wanaweza kuacha maiti ndani wakakimbiaKukaribishana msibani kupo, tukitoka msibani kwenu usiku wa leo hii nadhani tutaamia kwa jirani yetu mwingine huyo wanamuitaga mvaa blauzi nasikia kazidiwa kweli na uwezekano wa kufika kesho ni mdogo sana.
Mkuu ona mabao ya Barca kwa Chelseateh hao wawili hapo juu una maanisha kweli?
Malafyale umeanza kuwa muoga siku hizi Hii ni vita usichague adui wa kuuwa adui ni adui tu awe mkubwa au mdogoTupo tayari kwa opponent yeyote yule.Siombei nikutane na Juventus sababu ya defensive mind na kama unavyojua watu wetu watatu wa mbele wakibanwa muda mrefu wanachanganyikiwa!
Mm naombea tukutane na hawa wanao cheza mpira ndiyo wazuri kuwapiga!
Bring Barca
Bring Madrid
Bring Seville
Tetesi
Mshambuliaji wa Liverpool mwenye umri wa miaka 17 Rhian Brewster ataanza kushirikishwa katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo wakati atakapopona jeraha alilopata msimu ujao.. (Telegraph)
Bayern Munich na Juventus zina hamu ya kumsajili kiungo wa kati wa Liverpool na Ujerumani 24- Emre Can (Mirror)
Duh huu sasa wanga... mtu atapataje jeraha kabla msimu haujafika???
TumepitaItakuwa hivi Liverpool vs Bayern Munich
Weeeeeee bayern haw inabd fainaliItakuwa hivi Liverpool vs Bayern Munich