Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Virgil Van Dijk: "There are plenty of games left. Today was a big one but we need to move on and look ahead - it starts next week."
Yaa nadhani tutaleta mtu pale CM na beki maana kwanza Can anaondoka na Keita anakuja!Kama Ulimsikia Klopp Juzi alisema Liverpool Mara hii (Summer) itatumia Hela kubwa Kusajili Wachezaji Vipaji iwapo tu watapatikana Market!
Lakini Je Timu ziko tayari kuuza Wachezaji wao?
Hata hivyo Ni wazi Kuwa Next season Timu itakuwa na Sura Mpya hususani eneo la Midfield.
Ninachohisi Kilichomtoa Matip Mchezoni Ni Zile injury za Mara Kwa Mara alizokuwa akipata.
Jipe moyoGemu zetu 8 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-
8) √ Watford (H)
7) √ Palace (A)
6) √ Everton (A)
5) √ B'mouth (H)
4) √ WBA (A)
3) √ Stoke (H)
2) √ Chelsea (A)
1) √ Brighton (H)
Home (H} Ni 4 na Away (A) Ni 4.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 4 za Home na Kujikusanyia Points 12 na Katika Michezo 4 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 3 (Palace, Everton & WBA) na Kupoteza Mechi 1 (Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 15 Katika Hiyo Michezo 8.
Ukijumlisha Hizo Points 15 na 60 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 75.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..

Aendelee kupewa nafasi kwa ubovu huu aliotuonyesha leo na tena afadhali leo ni big match maana imemulika vitu vingi.
Dogo TAA ni beki wa kulia ambapo anaface Mashambulizi kutoka namba 11 ya adui.
Ukiachana na magoli yote kufungwa na left wing ambaye ndie dogo TAA anammark, upande wa dogo ulikuwa mbaya sana kwa counter attacks walizofanya Man Utd leo.
Upande wa Robertson, Robertson kweli alifanya kazi ya kutupotezea Juan Mata
Yaa nadhani tutaleta mtu pale CM na beki maana kwanza Can anaondoka na Keita anakuja!
Tunahitaji beki ngangari kwa kweli!
Lovren na Matip wapo laini sana!
Ngoma ilikuwa mtoto hatumwi sokoni anaweza kupoteza bidhaa au hata chenjiUnamaanisha leo United wamekuwa watu wasiojulikana.. Wameteka Salah
Mechi ijayo ntakuja hapa kukugesabia point nyingine mtakayopoteza.Points 70 ni za kufikia tu mkuu...boys will come back very strong
Hivi unajua point 70 msimu huu hamfikishi?Gemu zetu 8 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-
8) √ Watford (H)
7) √ Palace (A)
6) √ Everton (A)
5) √ B'mouth (H)
4) √ WBA (A)
3) √ Stoke (H)
2) √ Chelsea (A)
1) √ Brighton (H)
Home (H} Ni 4 na Away (A) Ni 4.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 4 za Home na Kujikusanyia Points 12 na Katika Michezo 4 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 3 (Palace, Everton & WBA) na Kupoteza Mechi 1 (Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 15 Katika Hiyo Michezo 8.
Ukijumlisha Hizo Points 15 na 60 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 75.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..
Hivi unajua point 70 msimu huu hamfikishi?