Asante.Poleni ndo mpira huo
Unipe matokeo mi huo umenipita,huko tuko wamojaAsante.
Naangalia Barcelona saizi kupoteza mawazo...
Half time saizi mbili bila...vijana wetu tuliowauza Suarez and Coutinho ndiyo wametupia, magoli mazuri sana!Unipe matokeo mi huo umenipita,huko tuko wamoja
Nikweli mkuu mambo madogo tu yamewaangusha tena kama kuruhusu zile gori mapema ndio ilikua sumu yenu
Wanesema anjua kushambulia et
Mimi nimeona kama wamecheza 6-3-1 walikuwa na wachezaji wawili wa kiungo cha kushambulia waliohangaika huku na kule Sanchez na Mata. Rashid alikuwa anaingia ndani kusaidiana na Mwalukaku.
Hakika wamefanikiwa. Mo alibadili kidogo mfumo wake wa kujilinda na siku zote hafeli katika hilo.
I disagree mkuu.
Dogo kacheza mechi ngapi na kaharibu ngapi? Mimi naona dogo aendelee kupewa nafasi, hakuna mtu asiyekosea kwenye mpira...after all leo timu nzima haikupress kama inavyofanyaga siku zote!
PointlessHizi Ni Rating za Ndani Ya Timu Yetu Kwa Wachezaji Wetu tu kulinganisha mmoja na mwengine na sio Kulinganisha Wetu na Wenu lazima ifahamu hilo.
Kosa ni la LovrenAendelee kupewa nafasi kwa ubovu huu aliotuonyesha leo na tena afadhali leo ni big match maana imemulika vitu vingi.
Dogo TAA ni beki wa kulia ambapo anaface Mashambulizi kutoka namba 11 ya adui.
Ukiachana na magoli yote kufungwa na left wing ambaye ndie dogo TAA anammark, upande wa dogo ulikuwa mbaya sana kwa counter attacks walizofanya Man Utd leo.
Upande wa Robertson, Robertson kweli alifanya kazi ya kutupotezea Juan Mata
Kosa ni la Lovren
Mm naamini wote Lovren na Matip wameshindwa kazi Liverpool!
Moja ya nafasi tunazo hitaji ni mtu ngangari wa kucheza na VVD
Kila mpira wa juu Lukaku kaucheza tena comfortably kabisa
Klopp anayaona haya,nina uhakika ata solve
Mkuu always nipo huru kukosoa team yetu bila lugha za kukera!One of the best comment ever
Mkuu always nipo huru kukosoa team yetu bila lugha za kukera!
Lovren na Matip wacheze FA na Caragabao tu!
EPL na UCL mwakani aje mtu wa maana,yule Maguire wa LC au Vrij wa Lazio mnawaonaje?