Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa Timu Kubwa Tumeshamalizana na:-

√ Arsenal
√ Man City

Bado Kumalizana na:-
× Man United
×
Spurs
× Chelsea
 
Tatizo la liverpool huwa ni timu ndogo, timu kama Bristol et al.
2b5a0e1ba9e674e956090ec6a2958437.jpg
 
Klopp amesema alimtoa emre can kwasababu alikuwa anaumwa. Nilishangaa sana klopp kufanya hii sub pasipokuwa na sababu za msingi
 
Kwa nini uko nafasi uliyopo sasa??

• Tumefungwa na Man City

• Tumefungwa na Spurs

• Tumedraw na Man United

• Tumedraw na Chelsea

• Tumedraw na Arsenal

Hizo zote ni Timu Kubwa!!! Points Tulizopoteza hapo Zinatosha Kutueka Hapa Tulipo!!!

Angelikuwa na Vibonde Vinatusumbua Basi Tungelikuwa Nafasi Ya 10.
 
Mkuu na Game Ya Chelsea Pia tumepoteza Points 3 kwa Uzembe
makosa mandogo mandogo na ya kizembe bado yanatu cost sana...kuanzia kwa Gomez, Moreno, Makipa wote, Lovren n.k.... sasa kocha aache upendeleo wa majina na apange kikosi kulingana na ubora wa mchezaji..
unajiuliza Rob yupo tangu ligi inaanza lakini Klopp ni Moreno mpaka alivyoumia...
The future is bright guys...
 
Robo ndiyo Kwanza yupo 22years lakini Anayoyafanya utayajutia utakapo Cheza Winga Wa Kulia... 😀 😀 😀
Sasahivi Klopp amtengeneze Kitu kimoja tu ambacho bado Hajakimaster!! Nacho ni Kupiga Cross sahihi Coz Nyingi ya Cross Zake Huwa Hazielekei...

Ila uponaji Wa A. Moreno unaweza kuwa ni greatest barrier Kwa Kipaji cha Robo Kwani Ni Wazi Kuwa Katika Plan Za Klopp Mpaka sasahivi Moreno ndiye First choice.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom