Sterling aligoma kuongeza mkataba mpya Suarez,Coutinho wole walipeleka transfer request wakaongezewa mkataba finally wote wameuzwa.Sterling anakaribia kuchukua ubingwa na amekuwa mchezaji muhimu sana chini ya GuardiolaStering alikuwa boya aliondoka liver kwa kashfa sanaaa pumbavu huyo
Can anaondoka bure,Juve wako kwenye final stage kukamilisha usajili wakeTatizo la Can sio mshahara jamani!
Can anataka ktk mkataba mpya na Liverpool kiwepo kipengele akiamua kuondoka siku yyt aruhusiwe na iwepo bei kabisa itajwe kwenye mkataba kama ndiyo team inayo mtaka italipa kwa Liverpool!
Can is too young na kuuzwa kwake iwe lini na bei gani lzm ifuate markert price ya muda husika
Kama ni hivyo ni bora aondoke tu japo namkubali sana.Tatizo la Can sio mshahara jamani!
Can anataka ktk mkataba mpya na Liverpool kiwepo kipengele akiamua kuondoka siku yyt aruhusiwe na iwepo bei kabisa itajwe kwenye mkataba kama ndiyo team inayo mtaka italipa kwa Liverpool!
Can is too young na kuuzwa kwake iwe lini na bei gani lzm ifuate markert price ya muda husika
Tufupishe maneno tu Liverpool haimuhitaji Emre Can.Tatizo la Can sio mshahara jamani!
Can anataka ktk mkataba mpya na Liverpool kiwepo kipengele akiamua kuondoka siku yyt aruhusiwe na iwepo bei kabisa itajwe kwenye mkataba kama ndiyo team inayo mtaka italipa kwa Liverpool!
Can is too young na kuuzwa kwake iwe lini na bei gani lzm ifuate markert price ya muda husika
Mzee wa release clause upo ?Pia usisahau kuwa "MKATABA UNAONGEA" Kinachotufanya tujiamini Kubakia Kwa Coutinho ni Mkataba wake Hauna kifungu cha RELEASE CLAUSE.....
EPL yenu????? Hamjawahi kuibeba kuku nyie!!!!Nakutakia mafanikio mema Coutihno ingawa kwa wazi kabisa umepishana na mafanikio makubwa yatakayo fika!
Klopp tuletee kipa Oblak au Allison tuanze kuchukuea tena EPL yetu
mkuu umekosea njiaEPL yenu????? Hamjawahi kuibeba kuku nyie!!!!
Hiyo pesa inapelekwa kwenye kilimo cha maparachichi huko marekani ili mtaji uongezeke.....ya sterling ilinunua pampu ya kumwagilia.....ya Suarez ikanunua trekta na ya coutinho inapangiwa budget kesho...wasiwasi wangu ni kumpata mbadala wake Januari hii...hii pesa aliyouzwa Philz £146m ikitumika vizuri naamini zile nafasi zenye upungufu zitazimbwa
Huyo MTU namhitaji sana......akuje hapa sahivi.....Mzee wa release clause upo ?
Imeitwa EPL 1992....pole sanamkuu umekosea njia
muda utasema mkuu..mpaka dirisha linafungwo tutaona kama uongozi utafanya kweli sasa hivi na sio kma alivyouzwa Surez wakanunua vituko (Baloteli n.k)Hiyo pesa inapelekwa kwenye kilimo cha maparachichi huko marekani ili mtaji uongezeke.....ya sterling ilinunua pampu ya kumwagilia.....ya Suarez ikanunua trekta na ya coutinho inapangiwa budget kesho...
Kkwa sasa Liverpool hawajafanya mazungumzo yoyote na Foxes kuhusu Mahrez...Naomba wanaliva wenzangu mnisaidie hili, kivip mahrez anaweza kuziba pengo la coutihno?