mwaka huu liverpool tunayo kazi, Mahrez medical ndo anafanya leo???Madrid nao wanataka kumchomoa salah
Mahrez anacheza kulia sala nae kulia si ndo kuvuruga viwango apo mana lazima mmoja abadilikemwaka huu liverpool tunayo kazi, Mahrez medical ndo anafanya leo???
Mahrez wa nini tena? grrrrrr!mwaka huu liverpool tunayo kazi, Mahrez medical ndo anafanya leo???
Carrasco angefaa sana anapiga miguu yote mbele kote yupo vizuriMahrez wa nini tena? grrrrrr!
Naye hapana mkuu mchezaji anayetufaa ni Thomas Lemar tuCarrasco angefaa sana anapiga miguu yote mbele kote yupo vizuri
Huyu Lemar sijamuona sanaNaye hapana mkuu mchezaji anayetufaa ni Thomas Lemar tu
Hapa mkuu timu za uingereza ndipo zinapofeli unamuuza coutinho una mnunua mahrez wa nn? Barca wameuza neymar nunua coutinho manchester uza ronaldo sajili valencia na owen liverpool uza suarez sajili banteke chelsea fukuza costa chukua morata hatar sana.mwaka huu liverpool tunayo kazi, Mahrez medical ndo anafanya leo???
mwaka huu liverpool tunayo kazi, Mahrez medical ndo anafanya leo???
Ndio ubovu wa timu za EPLHapa mkuu timu za uingereza ndipo zinapofeli unamuuza coutinho una mnunua mahrez wa nn? Barca wameuza neymar nunua coutinho manchester uza ronaldo sajili valencia na owen liverpool uza suarez sajili banteke chelsea fukuza costa chukua morata hatar sana.
hapo sawa mkuu siku si nyingi itatua nyumbaniImeitwa EPL 1992....pole sana
hapo sawa mkuu siku si nyingi itatua nyumbani
lini hiyo mkuu!??We mjinga ndo ulinambia kuwa labdaJanuary nife mm ila sio Coutinho aende barca si ndiyo??????!! Naona yamekuwa vice versa.....ulikuwa unatumia nn kuongea ama kuandika hivyo??????!!!...sikulaumu saaaana coz yawezekana si kosa lako.......kunguru!!!!Sidhani Kwa Wale Wanaosema Lemar hawezi Kuziba Pengo la Coutinho Kuwa Wapo Sahihi!!!
Kiukweli Hakuna Mchezaji anaeweza Cheza Sawa Na Mchezaji Mwengine!!!
Lakini Mchezaji anayeweza Leta Yale Aliyokuwa Akiyaleta Mchezaji Mwengine Yupo.
As Attacking Midfielder tunahitaji Kuwa na uwezo Wa Kucheza kama Playmaker, Creator, Kutoa Zile Assists Na Kufunga Some Goals (Sifa hizi Zote Lemar anazo)...
Lakini Kumpima Mido Kwa Kupiga Zile Dribbles nyingi basi waweza sema Kweli Lemar Hawezi Ziba Nafasi Ya Coutinho...
Kuziba Pengo la Mchezaji si Lazima Uwe Na Uwezo Kama Mchezaji Huyo! Bali Ni Kufanya Vitu Sawa au Zaidi Ya Anavyovifanya Mchezaji Huyo...
Mimi Naamini Lemar anaweza Fanya Kile Kinachohitajika Kikawa Ni Sawa au Zaidi Ya Coutinho...
Lakini iwapo tu kama tutacount kile anachopaswa Kufanya Kama Score, Assists and Playmaker.
Ikiwa tutahesabu Kupiga Chenga Nyingi basi Hapo hatutapata Mbadala Wa Coutinho.