Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Acha kukariri its clear timu za EPL hazijafanya vizuri michuano ya ulaya kwa miaka mingi lakini kuna improvement kubwa msimu huu na kama timu zisipofukuza makocha timu za EPL zitarudi ku-dominate tena.Spurs amewafunga Madrid,Dortmund na kufanikiwa kuongoza kundi Chelsea amemfunga Atletico nyumbaniMark my word, timu yoyote ya epl(kuitoa city) ikipangiwa timu ya laliga ndio mwisho wao.even liverpool pamoja na kutoa sare na sevila game zote kwenye makundi na spurs kuifunga RM sio kipimo cha kutosha kuiweka epl juu ya la liga.
Pamoja na viwango vya Barcelona, Rm na Sevilla kushuka bado timu hizi ni nzuri kuliko Liverpool, Spurs,United na Chelsea. Hata wahuni Besiktas ni wazuri kuliko united na liverpool.
Psg, BayernMunich, Juventus Barca City na RM ndio wenye nafasi ya kunyanyua kwapa.
Last time Liverpool wamefika hii hatua ilikuwa 2009,Last time United wameongoza kundi wakiwa na point 15 ilikuwa 2008.Ngoja tusubiri but domination ya timu za EPL ndio inaanza
3-0 Huddersfield
3-3 Sevilla
️ 23: Liverpool 2017/18