Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hili Ni pigo Kwa Hendo! Mechi Kama Ya Jana "Big Game" ya Kuamua Tusonge Mbele au Tubakie inahitaji Captain Aongoze Jahazi lakini Huyu Captain Uchwara Hakuaminiwa na Klopp Kuwa Ni Nahodha Mzuri anayewaza Kupambana..
Sasa Nadhani Klopp anaanza Kutuelewa Washabiki kwa Kile Tunachomlalamikia.

Liverpool Echo ↓↓
"Make no mistake, Jordan Henderson will have been very disappointed not to start this game.
He's the club captain and, regardless of issues of rotation, when the big games come along he'd expect to play.

Na Nikiangalia Maneno Haya ya Klopp: ↓↓
Klopp said: “I have a lot of difficult decisions – good decisions to make in the moment – so this is the line-up for tonight and that’s all".

Hapo Klopp Anasema Kafanya Maamuzi Magumu Katika Kuchagua Line-Up...
Nimekaa Nikajifikiria Maamuzi Magumu Ni Yapi Hapo Wakati Ni Timu ya Kawaida tu Kucheza??
Jibu nililolipata Ni Kumueka Benchi Hendo Kwasababu Haikiwa Nazi rahisi kwa Mechi Muhimu Captain akaekwa Bench.

Hivi unadhani Kwa Mechi Muhimu kama Ya Jana STEVEN GERRARD angeliekwa Benchi? Thubutu!

Ni dhahiri Shahiri Kupotea Kwa Hendo Kwenye Kipindi Cha Pili dhidi ya Sevilla Ndiyo Sababu ya Jana Kuekwa Benchi..
Na Hii Ni Dalili tu Kuwa Akija Nani Keita Ndiyo Mwisho Wa Safari Ya Hendo pale Liverpool.

Hendo Ninakutakia Safari Njema ya Kurudi Sunderland.. 😀😀😀
Tatizo linakuja pale emre can anapokosa kucheza first leg ya second round maana juzi alipigwa yellow card inamsababisha kukosa game ya second round first leg.

hapo ndio henderson atakopocheza maana hakuna jinsi aisee
 
sifa ya kuwa captain n ip?only to play mpira vzur au labda nieleweshe kwa hlo

Kama Uliangalia Final Ya Liverpool vs AC Milan mwaka 2005 CL nadhani Uliona Alichokua Anakifanya Captain Gerrard Kwa ↓↓:

1) Mashabiki
2) Wachezaji wenzake
3) Timu Kwa Ujumla

Hapo utakuwa umeshapata Jibu! Kama Hukuiona hiyo Fainali hapo itakuwa sina cha Kukusaidia.
 
Tatizo linakuja pale emre can anapokosa kucheza first leg ya second round maana juzi alipigwa yellow card inamsababisha kukosa game ya second round first leg.

hapo ndio henderson atakopocheza maana hakuna jinsi aisee

Unakosa Mchezo Mmoja Unapokuwa na Yellow 2... Je Can Ana Yellow 2 Hata akose Huo Mchezo?
Mbona nakumbuka ana Yellow 1 tu!!!
 
KLOPP'S PRE DERBY PRESS CONFERENCE

Klopp on coutihno: sina sababu ya kufikilia kuhusu hili jambo sababu hatujazungumza chochote kuhsu usajir wakat huu

klopp on the derby:ni mech muhimu sana kwetu sisi ni wiki yetu pia tumetoka cheza ugenn na brighton,spatakat moscow saiz derby inatusubil

klopp:jumapil nakutana na Sam Allardyce katika team 3 tofaut tofaut nipo liverpool kwa miaka miwili sasa lakn ukikutana na SAM mara nying mech inakuwa ngumu

klopp:inabd tusubil kweny kikoc, sina tatizo wala shaka na majina ya utani kama FAB FOUR lakin hii ni kuwavunjia heshima vijana wegine

klopp:tumebadilik sna tangu tufungwe na spurs na kaz yetu ni kuhahikisha kwamba kila siku ushindwe kuzngumzia kuhsuu tatizo la safu ya ulinzi yetu.
 
Hapo Kwenye Paragraph Ya Mwisho Hapakukaa Sawa! Hatuwezi Shindwa au Sahau Kuzungumzia Tatizo la Safu Ya Ulinzi Ya Timu Yetu....
Ingawa Timu inafanya Vizuri lakini Hatujui Safu yetu ya Ulinzi Ni Muda gani itakuja KutuCost Kama Siku ya Sevilla..... Kwahiyo Safu ya Ulinzi Ni Lazima ifanyiwe Marekebisho.
 
Tetesi
Mchezaji Philippe Coutinho amekataa kuthibitisha kuwa atasalia Liverpool mwezi ujao, wakata Barcelona wanaandaa pauni milioni 127 kumpata mchezaji huyo wa miaka 25. (Sun)
 
Tetesi
Juventus wameshauriwa nyota wao wa zamani Alessandro Del Piero kumwendea mchezaji wa safu ya kati wa Liverpool
 
RESULTS: Mohamed Salah crowned European Player of the Month

November truly was Movember…

Liverpool star Mohamed Salah has won our continent-wide vote for the European Player of the Month for November.

His incredible run of form has put him top of the Premier League top scorers’ list and also top of our poll, ahead of PSG striker Edinson Cavani and Barcelona’s Lionel Messi.

Congratulations, Mohamed!
 
Tetesi
Mchezaji Philippe Coutinho amekataa kuthibitisha kuwa atasalia Liverpool mwezi ujao, wakata Barcelona wanaandaa pauni milioni 127 kumpata mchezaji huyo wa miaka 25. (Sun)

You Should say ""Amekataa Kuthibitisha Kuhusu Khatma Yake"" Meaning Kuwa "Atasalia au Ataondoka"
 
RESULTS: Mohamed Salah crowned European Player of the Month

November truly was Movember…

Liverpool star Mohamed Salah has won our continent-wide vote for the European Player of the Month for November.

His incredible run of form has put him top of the Premier League top scorers’ list and also top of our poll, ahead of PSG striker Edinson Cavani and Barcelona’s Lionel Messi.

Congratulations, Mohamed!
He deserve it for sure.
 
View attachment 646363

Katika Mchezo Yetu 9 iliyopita:

3-0 Huddersfield
3-0 Maribor
1-4 West Ham
3-0 Southampton
3-3 Sevilla
1-1 Chelsea
0-3 Stoke City
1-5 Brighton
7-0 Spartak Moscow

Tumeshinda 7, Tumetoka Sare 2.....

Hayo Ndiyo Tunayoyataka Mashabiki Wa Liverpool Na Ndiyo Tulichokuwa Tukikisubiri Kutoka Kwa Klopp...

Awali Tulilamlalamikia Sana na Kumlaumu Kutokana na Matokeo Mabaya Ya Timu yaliyokuwa Yakisababishwa Na Mabeki Wetu na Kiungo Mkabaji....

Kwa sasa Timu imerudisha Consistency So, Hakuna Sababu Ya Kumlaumu au Kumkosoa Klopp Kwa Sababu Mtu Analaumiwa au Kukosolewa Kwa Uzembe na Si Kwa Ufanisi Mzuri...

Klopp Sasahivi Tunakupongeza Mitandaoni lakini usije Ukalewa Sifa...

Na Hakuna Jinsi itabidi Summer Kama Coutinho atang'ang'ania Kaondoka itabidi Amruhusu tu.....
Na ajaribu Kumshawishi Can asaini Mkataba Mpya ili asiondoke...

Yaliyobaki Kwa Klopp Ni Marekebisho Ya Kutafuta Centre Bach Mmoja na Striker Mmoja tu..
Hapo Tusubiri raha tu tena....

Hongera Klopp Kwa Kufanya Vizuri...

Kila la Heri Hendo Kwa Safari inayokusubiri ya Kurudi Sunderland.....
Unaongea kama anakusikia
Ivi kwa akili yako liver ingekuwa apo bila klop???
 
Na baryen wanamtaka sasa
 
Unaongea kama anakusikia
Ivi kwa akili yako liver ingekuwa apo bila klop???

Mbona Ulichokiandika Hakihusiani Na Nilichokiandika Mimi?
Au Pana Sehemu Hapo Nimesema "KLOPP AFUKUZWE"?

Ivi kwa akili yako liver ingekuwa apo bila klop???

Sasa Hapo ↑↑↑ Ndiyo umeuliza Nini?

Unamaanisha Liver ingekuepo wapi kivipi? Nafasi Ya NNE? Kushinda Saba? kuingia 16 bora? Au Nini zaidi? Manake Hapana Jipya Klopp Alilolifanya ikawa Ni geni Kwa Liverpool???
Na Hata Kabla Ya Klopp Liverpool ilishakua mbali na Kufanya Makubwa!!!

Kwahiyo Livedpool ni Taasisi inaweza Kuwa Popote pale bila Ya Klopp kama alivyofanya Benitez....!!

Mkuu Ni Kwamba Katika Mafanikio Bado Klopp Hajafanya Kitu!!! Ila Ndiyo Tunatarajia atuletee sasa hayo Mafanikio...

My Take: Mimi simlaumu wala Simkatai anaefanya kile Tulichomtuma... Na sasahivi Klopp Anakifanya Tulichomtuma Liverpool...

Alipokuwa Hafanyi Nilimlaumu! Na atakaposhindwa Tena Nitamlaumu tena.
 
Kidogo Napata Matumaini Kumsikia Chief Executive Officer (CEO) Wa Liverpool Peter Moore akisema Kuwa Timu inaangalia kuhusu Kuongeza Nguvu (Usajili) kwenye Mwezi Wa January...

"Liverpool CEO Peter Moore has hinted that the club will look to add to the squad in the January transfer window."

Chanzo Ni Liverpool Echo

'Liverpool will look at January transfer targets'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom