Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Usiku Wa Leo Nitaangalia Mpira Kwa Amani Baada Ya Kumuona Stupid Hendo Yupo Bench..... Well done Klopp
with you on thatI'm happy that this fool - Hendo is warming the bench tonight
Maneno ya ukakasi kwa JK kwa anti Liverpool hapa yatakoma!Walifikia hatua hata kumfananisha JK na trash BR
Ningekuwa na uwezo JK angekuwa kocha wa milele wa Liverpool,huyu ni Bill Shanky wetu
Aibu yao
Maneno ya ukakasi kwa JK kwa anti Liverpool hapa yatakoma!Walifikia hatua hata kumfananisha JK na trash BR
Ningekuwa na uwezo JK angekuwa kocha wa milele wa Liverpool,huyu ni Bill Shanky wetu
Aibu yao