Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_20171208_204124.jpg


Jürgen Klopp aweka Wazi Kuwa Licha ya Media Kuvumisha kuhusu Coutinho Kuondoka Liverpool January Yeye Binafsi Hajafanya Mazungumzo na Mtu Yeyote (Barca au Coutinho) kuhusu Uhamisho Wa January...

Na Amesema Kuwa Kwa Sasa Mpaka Kufikia January 31st Liverpool ina Takriban Michezo 20.. Kwahiyo Hana Muda Wa Kuzungumzia Kuhusu Uhamisho Bali Anaconcentrate Zaidi Kwenye Kuotayarisha Timu na Michezo Hiyo!


"LIVERPOOL -- Jurgen Klopp says he has "no reasons" to think about Philippe Coutinho's Liverpool future and that nobody informed him the playmaker will be leaving in the January transfer window.

Speculation continues to be rife about the possibility of Coutinho moving to the Camp Nou in the winter, with the player himself recently non-committal about staying at Liverpool.

However, Klopp stressed on Friday that he has not been contemplating Coutinho's future due to Liverpool's packed schedule from now until the end of the January transfer window.

"I have no reasons to think about it," Klopp told a news conference. "The only thing what you are doing is asking me. That doesn't change my situation.

"I have said it a few times, we never spoke about transfers in this moment. Whatever I could say would, obviously, not stop your questions, so I thought it'd make sense to not answer it. It feels a little bit like a waste of time.

"There's really nothing to say in this moment. I'm completely in the situation and nobody came to me so far and said: 'Phil will be away in January' -- nobody who has influence on it.

"That's all. I'm completely fine with the situation -- that's how it is. We had this big story in the summer. I have no desire to have it again from now on until the end of January because we play around 20 games in this period. I will say nothing about that.

"At the 31st of January we can then shake hands and say: 'What a wonderful time we had together' -- the journalists and me, not Phil and me."

Meanwhile, Klopp has downplayed the fact Jordan Henderson was left out of the starting XI for Liverpool's 7-0 win over Spartak Moscow in midweek.

The Liverpool manager believes the reaction to Henderson's omission has been overblown, and feels he suffers from succeeding Steven Gerrard as club captain.

"[I'm] not sure if it's an English thing or an old-fashioned thing, but even your captain cannot play all the time," Klopp added.

"That's how it is, you cannot just bring him in because he has the armband. He's in a good moment, in good shape but for this game [Spartak Moscow], I made this decision. I thought it makes real sense in these weeks -- not that it was all planned -- but you need the players on the pitch who know 100 percent what a derby is about.

"So I made the decision last week and I only spoke about it [after the Champions League game] because I knew people will find out 'oh fantastic game, Jordan didn't play' and make s--- stories out of it.
"But there are still s--- stories. He's such an important player for us and I really don't get why I have to say that. But I live in this city and I know how people sometimes are talking about things.
"Being a skipper of Liverpool is the hardest job in world football because the man who had the armband before you was Steven Gerrard. Sorry -- he finished playing football and we cannot get him back.

"I want that everybody respects that Jordan Henderson is our skipper because he deserves it and is the right man for the job.

"That still doesn't mean he can play all the games until he is injured. So it's actually no story, but in England -- and especially in Liverpool -- it is. Story done."

Klopp calm amid Coutinho Barca links
 
did u hear this from our manager?(JK) "THE CHEMISTRY WE BRING ON TO THE FIELD ISN'T ABOUT BUYING THE MOST EXPENSIVE PLAYERS

DO U AGREE WITH HIM?
 
Hapo Kwenye Paragraph Ya Mwisho Hapakukaa Sawa! Hatuwezi Shindwa au Sahau Kuzungumzia Tatizo la Safu Ya Ulinzi Ya Timu Yetu....
Ingawa Timu inafanya Vizuri lakini Hatujui Safu yetu ya Ulinzi Ni Muda gani itakuja KutuCost Kama Siku ya Sevilla..... Kwahiyo Safu ya Ulinzi Ni Lazima ifanyiwe Marekebisho.
Alikuw anamaanish n kwamba uwanjan inabd wacheze vzur wajitahd kiac kwamba wale waliozoe kusema makosa ya bek zetu washindwe xha kuzungumza
 
Week hii napunguza points kwa walio juu yangu!
Everton akipona sana 3-0
 
Week hii napunguza points kwa walio juu yangu!
Everton akipona sana 3-0


Huu Mchezo Wa Man United na Man City Ni Kisirani Cha Karne....
Akishinda Man City! Atakatisha Tamaa Tunaomfukuza...
Akishinda Man United! Atatukimbia Tulio Nyuma Yake...
Wakidraw! Hasara Kwa Wote Wawili lakini ni ndogo kwa Wote Wawili....
Dilemma...
 
did u hear this from our manager?(JK) "THE CHEMISTRY WE BRING ON TO THE FIELD ISN'T ABOUT BUYING THE MOST EXPENSIVE PLAYERS

DO U AGREE WITH HIM?


Naweza Kukubaliana Nae Wasiwe Expensive Player Kama Pogba, Lukaku na Morata! Wawe Bei ya Kawaida lakini Talented Kama Mo Salah na Sadio Mane...
 
Career Premier League Assists:
• James Milner - 76
• Peter Crouch - 56
• Paul Scholes - 55

"Still Manure Fans Believe Paul Scholes is Premier League's greatest ever midfielder" 😀😀😀
 
Goals this season:

⚽️ Coutinho, Mane, Salah and Firmino (46)
⚽️ Everton (32)



24775075_2008932809384203_4530493722527685859_n.jpg

 
"We are Waiting For You To Send You To Hell"

"YOU'LL NEVER WALK ALONE"


24862264_2008932239384260_8373958539686326381_n.jpg
 
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amemwambia kiungo Philippe Coutinho kuwa Anfield ndio sehemu yake sahihi kwake kutimiza ndoto zake
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 hana uhakika kama ataendelea kuwa mchezaji wa Reds ifikapo mwisho wa dirisha la uhamisho wa Januari kwani Barcelona bado wangali wakimfukuzia kwa kasi.
Swali juu ya mustakabali wa Mbrazili huyo linaendelea kugonga, lakini Klopp - tayari ameshachoshwa na tetesi hizo wiki tatu zikiwa zimebaki dirisha la uhamisho kufunguliwa - akisisitiza kuwa kujiunga na miamba wa Catalan hakutampa kile anachotaka.

Hakuna kitakachosimamisha tetesi hizi lakini sina la kusema kuhusu tetesi hizo. Hilo halitabadilika," aliwaambia waandishi. "Nina uhakika kwamba wachezaji wanafahamu kuhusu maendeleo yao hapa. Nadhani ni dhahiri. Kama unataka kuona, kama hutaki kuona, mimi nipo sawa.
"Wachezaji wanajua thamani klabu iliyo nayo kwa ajili yao. Hakuna shaka kuhusu hilo. Ninachowapa wachezaji kinaonekana wazi.
"Ni kazi yangu kuwasaidia wachezaji kufikia kiwango chao kwa 100% na ubora. Kazi ya wachezaji ni kufanya kazi dimbani na kuendelea kuwa na afya na kuwa na fikra pevu - hayo hayanihusu mimi."
Coutinho amefunga mara tisa katika michuano yote Liverpool na kuiwezesha timu yake kufikisha magoli 62 msimu huu - mwendo wao mzuri wa mabao baada ya mechi 24 tangu 1895.
 
E: Liverpool (ENG)
Can play: Basel, Bayern, Juventus, Shakhtar, Porto, Real Madrid
Group stage: W3 D3 L0 F23 A6
Top scorer: Roberto Firmino (6)
Last season: N/A
Previous European Cup best: winners x5 (1977, 1978, 1981, 1984, 2005)
 
E: Liverpool (ENG)
Can play: Basel, Bayern, Juventus, Shakhtar, Porto, Real Madrid
Group stage: W3 D3 L0 F23 A6
Top scorer: Roberto Firmino (6)
Last season: N/A
Previous European Cup best: winners x5 (1977, 1978, 1981, 1984, 2005)
Mungu saidia tukutane na timu kubwa si ndogo,kwa sa hivi tukikutana na real madrid au buyern ni nzuri zaidi sio akina porto basel au sharkta
 
Chelsea kafa.. Kesho Eva Tonny tumchape kama goli zisizo pungua 4 tukae juu ya cheltako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom