HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,685
- 7,181
Sahivi sina vijana hii timu
Kijana wangu Salah anaondoka.
Hii timu sasahivi mimi hapana,,nina stress tayari,, siwezi ruhusu Liverpool iniongezee stress.
Mijitu ipo tu haimtoi huyo kocha ili sisi tuendelee kuteseka.
Salah kwenye mpira hawezi kuitwa kijana tena.
Achana nae na achana na hiyo timu. Hebu icheki ile timu kubwa iitwayo Arsenal. Nasikia wanakaribia kuwa mabingwa wale jamaa. Hamia kule uishi maisha ya raha mustarehe yasiyo na stress ndogo ndogo.