Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu Timu Ambazo Zilizoshika Nafasi Za Pili Ambazo Moja Wapo Tutakutana Nayo kwenye 16 bora Ni hizi hapa:

√ Real Madrid
√ Bayern Munich
√ Juventus
√ Porto
√ Shakhtar Donetsk
√ Basel
√ Chelsea

Kwa Kweli Hapo Kidogo aliyejikaza Bayern lakini Sijaona Mwengine Wa Kuweza Kutusumbua....
 
It is first time ever that one country (England) has had five teams in the last 16 of the Champions League:

4 of them are group leaders
1 of them 2nd place

Some misukules claims Laliga is the best league compared to EPL!!! Very difficult to know what kind of leaves they smoke...
 
Mido Washambuliaji Wetu Wote Jana Waliingia Kwenye List Ya Ufungaji! Amazing...

√ King Salah ⚽️

√ Bobby
⚽️

√ Mane ⚽️⚽️

√ The Magician
⚽️⚽️⚽️

Milner Katoa Assists 3
• The Magician Kafunga Magoli 3

😀😀😀 Sasa Naanza Kumuona Klopp Wa Dortmund na Kuanza Kumzika Yule Klopp Rogers...
 
Jinsi Captain the Magician Jana Alivyoongoza Kikosi Cha Mauwaji na Kuamua Kukaa Mstari Wa Mbele Katika Mashambulizi yeye Mwenye kwa Mguu Wake Akabandika Goli 3... I guess Yule Captain Uchwara (Hendo) sasahivi Anamuonea Wivu.... 😀😀😀

Lile Lijamaa Licaptain uchwara Kazi Kupiga Mipasi Ya Nyuma tu Kwa Mabeki na Pembeni huku Likipooza Pace Yetu....

Yaani Next Season Klopp akiacha Kiburi hili Jamaa litaisikia tu Namba! Litaozea Bench na Kurudi Sunderland..
 
Je Ninai Tutakutana Nae Katika Hatua ya 16 bora?
Jibu Tutalioata Jumanne saa 13 kwa Saa za Afrika Mashariki.

First legs itachezwa Kati ya February 13/14 na February 20/21..
Na return legs itachezwa Kati ya March 6/7 na March 13/14.

Kwa Liverpool wameibuka group winners, Basi Sheria ya EUFA inasem titaanzia Kucheza Ugenini...

Hii ni Advantage Nzuri Sana Kwa WanaLiverpool! Ugenini Timu itajifanya Kutukazia Draw.. Akija Anfield Tunampa 5..

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
It is first time ever that one country (England) has had five teams in the last 16 of the Champions League:

4 of them are group leaders
1 of them 2nd place

Some misukules claims Laliga is the best league compared to EPL!!! Very difficult to know what kind of leaves they smoke...
hahahaha.!!!!
probably not Mary jane
 
Wakuu Timu Ambazo Zilizoshika Nafasi Za Pili Ambazo Moja Wapo Tutakutana Nayo kwenye 16 bora Ni hizi hapa:

√ Real Madrid
√ Bayern Munich
√ Juventus
√ Porto
√ Shakhtar Donetsk
√ Basel
√ Chelsea

Kwa Kweli Hapo Kidogo aliyejikaza Bayern lakini Sijaona Mwengine Wa Kuweza Kutusumbua....
Chelsea mtoe huwez kukutana nae, kwasasa kwakuwa mnatokea nchi moja,

Real ,na baryen wamebak majina tu kwasasa
 
Hendo itamuia Wakati Mgumu Anapojiona Yeye Captain Mzima Jina Lake Lipo Chini Kabisa Katika Timu Tofauti Na Gerrard jina lake lilipokuwa Juu Kuliko Mchezaji yeyote Yule Wa Liverpool...

Yaani Captain Mzima Jina Lake Ndani Ya Merseyside halisikilikani Bali Habari ya Mjini Merseyside Ni Coutinho, Salah, Mane na Firmino 😀😀😀

Captain Jina lake Lipo Kwenye Jezi tu lakini Kwa Washabiki Ni Shit..

Huyu Captain Uchwara Sidhani Kama Hata anajichanganya Na Wachezaji Wenziwe Mana Kashaanza Kujishtukia Kuwa Yeye Ni Mzigo Coz Kina Mane, Firmino, Salah na Coutinho Kila Wanapopita Watu Wanapiga nae Selfie huki Wakisaini Vitu Mbalimbali! Lakini Yeye Akipita Mitaa Watu Wanampotezea...

Captain Maandazi... 😀😀😀
 
Hili Ni pigo Kwa Hendo! Mechi Kama Ya Jana "Big Game" ya Kuamua Tusonge Mbele au Tubakie inahitaji Captain Aongoze Jahazi lakini Huyu Captain Uchwara Hakuaminiwa na Klopp Kuwa Ni Nahodha Mzuri anayewaza Kupambana..
Sasa Nadhani Klopp anaanza Kutuelewa Washabiki kwa Kile Tunachomlalamikia.

Liverpool Echo ↓↓
"Make no mistake, Jordan Henderson will have been very disappointed not to start this game.
He's the club captain and, regardless of issues of rotation, when the big games come along he'd expect to play.

Na Nikiangalia Maneno Haya ya Klopp: ↓↓
Klopp said: “I have a lot of difficult decisions – good decisions to make in the moment – so this is the line-up for tonight and that’s all".

Hapo Klopp Anasema Kafanya Maamuzi Magumu Katika Kuchagua Line-Up...
Nimekaa Nikajifikiria Maamuzi Magumu Ni Yapi Hapo Wakati Ni Timu ya Kawaida tu Kucheza??
Jibu nililolipata Ni Kumueka Benchi Hendo Kwasababu Haikiwa Nazi rahisi kwa Mechi Muhimu Captain akaekwa Bench.

Hivi unadhani Kwa Mechi Muhimu kama Ya Jana STEVEN GERRARD angeliekwa Benchi? Thubutu!

Ni dhahiri Shahiri Kupotea Kwa Hendo Kwenye Kipindi Cha Pili dhidi ya Sevilla Ndiyo Sababu ya Jana Kuekwa Benchi..
Na Hii Ni Dalili tu Kuwa Akija Nani Keita Ndiyo Mwisho Wa Safari Ya Hendo pale Liverpool.

Hendo Ninakutakia Safari Njema ya Kurudi Sunderland.. 😀😀😀
 
It is first time ever that one country (England) has had five teams in the last 16 of the Champions League:

4 of them are group leaders
1 of them 2nd place

Some misukules claims Laliga is the best league compared to EPL!!! Very difficult to know what kind of leaves they smoke...
Mark my word, timu yoyote ya epl(kuitoa city) ikipangiwa timu ya laliga ndio mwisho wao.even liverpool pamoja na kutoa sare na sevila game zote kwenye makundi na spurs kuifunga RM sio kipimo cha kutosha kuiweka epl juu ya la liga.

Pamoja na viwango vya Barcelona, Rm na Sevilla kushuka bado timu hizi ni nzuri kuliko Liverpool, Spurs,United na Chelsea. Hata wahuni Besiktas ni wazuri kuliko united na liverpool.

Psg, BayernMunich, Juventus Barca City na RM ndio wenye nafasi ya kunyanyua kwapa.
 
Haya Ndiyo Madhara Ya Kupenda Mpira Kuanzia 2009 baada Ya Kusikia Kuna Mchawi Wa Soka Anaitwa Messi..
Sikushangai Ni Utoto tu Huo! Ukikua Utaacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom