Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool 7 - 0 Spartak Moscow

Coutinho (P) ⚽️ 4'
Coutinho ⚽️ 15'
Firmino ⚽️ 19'
Mane ⚽️ 47'
Coutinho ⚽️ 50'
Mane ⚽️ 76'
KING SALAH ⚽️ 86'

Maribor 1 - 1 Sevilla
 
Salah, Mane, Coutinho, Firmino - What amazing players. If we would have been this consistent and punishing at the start of the season we'd be at the top of the league. What a night to remember [HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]!
 
Kwa Kushinda goli 6 ....
Hata Kama Habebi Kombe lolote Kama Wenger Vile Lakini Akishakuwa Anapiga Mtu Goli Nyingi tu Basi Kwake Yeye Huyo Ndiye Kocha Bora...
Kwake Yeye Muhimu Kufunga tu Lakini Sio Kombe.
Kuwa na akili somtyms
Jazba hazisaidii
 
Leo Coutinho the Magician Amewaprove Wrong Wale Wapenzi Wa Hendo Wote...
Labda niwaulize swali tu "Was anyone else annoyed by Coutinho's Captain armband slipping off his arm again and again?"

Coutinho Kavaa Captain:
1) Kaongoza Mashambulizi
2) Kapiga Dribles za Uhakika
3) Kafunga Magoli 3
4) Kaiongoza Timu Kwa Kutengeza Mashambulizi

Hizi Ndiyo Sifa Anazotakiwa Kuwa Nazi Captain Wa Liverpool... Sio Hendo Mzee Wa Pasi Za Nyuma..
 
Kuwa na akili somtyms
Jazba hazisaidii

Wewe si Wa KuniQuote Mimi Kwasababu Timu imepitia Katika Kipindi Kigumu Hatukukuona Hapa!
Tulibakia Wachache Kuiunga Mkono Timu Yetu...

Leo imeanza Kufanya Vizuri ndiyo munaanza Kujichomoza Na Kujifanya Wakosoaji...

Mimi washabiki Kama Nyinyi Musioweza Challenge Siwezi Nikajadiliana nanyi Kwa Chochote...

Tafadhali usiniQuote..
 
Wewe si Wa KuniQuote Mimi Kwasababu Timu imepitia Katika Kipindi Kigumu Hatukukuona Hapa!
Tulibakia Wachache Kuiunga Mkono Timu Yetu...

Leo imeanza Kufanya Vizuri ndiyo munaanza Kujichomoza Na Kujifanya Wakosoaji...

Mimi washabiki Kama Nyinyi Musioweza Challenge Siwezi Nikajadiliana nanyi Kwa Chochote...

Tafadhali usiniQuote..
Hahahahahahahaha
 
To Be Honest: Kwavile Klopp Amenipa Kile Mshabiki Wa Liverpool Ninachokitaka! Basi Ninampongeza Kiroho Safi "HONGERA KLOPP" endelea Kufanya Hivyo....
 
Michezo nane ya mwisho ya hatua ya makundi ya klabu bingwa barani ulaya imechezwa usiku huu na hivyo kukamilisha jumla ya timu kumi sita zilizosonga mbele.
Majogoo wa Liverpool, wameibuka na ushindi wa kishindo nyumbani kwa kuichapa Spartak Moscow magoli 7-0 huku Maribor wakitoka sare ya 1-1 na Sevilla hivyo katika kundi E ni Liverpool na Sevilla zinasonga mbele.

Katika kundi F, Waholanzi wa Feyenoord wakaifunga Napoli 2 - 1,nao Shakhtar Donetsk wakapata ushindi muhimu wa mabao 2 - 1 dhidi ya Manchester City hivyo Man City na Shakhtar Donetsk wanasonga mbele katika hatua ya kumi na sita bora.
Wareno wa Fc Porto wakatakata nyumbani kwa ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Wafaransa wa Monaco nao Wahuni wa Besiktas wakashinda ugenini kwa ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Leipzig. hivyo katika kundi G,Fc Porto na Besiktas ndio wanafuzu kwa hatua ya kumi na sita bora.

Katika kundi H, Real Madrid na Tottenham zimefuzu kusonga mbele baada ya Real Madrid kuwachapa Borussia Dortmund 3-2, Huku Tottenham Hotspur wakishinda 3 - 0 dhidi ya APOEL Nicosia.
 
Na Fahamu Kuwa Kuwa Kimya Chetu Hakimaanishi Kuwa Tumeridhika Na Timu Hii aliyonayo Ya Kugombania Top 4...
Tunamsubiri Dirisha la Summer la Usajili tuone atafanyaje!! Akileta Kiburi tutakuja na [HASHTAG]#KLOPPOUT[/HASHTAG]...
Hatutaki Top 4 Bali Tunataka Kombe.
klopp kiburi ndio kitamuondoa Liverpool....yaaani too much...kwa sasa Henderson n Moreno wakae nje na timu itafanya vizuri sana...
Derby next....
 
Roberto Firmino has scored six goals in the Champions League this season, the most by a Liverpool player in a single group stage campaign in the competition.
 
King Mohamed Salah for Liverpool:

Games: 22
Goals:
⚽️ 18
Assists: 3

LFC Player Of The Month: 3
Goal Of The Month: 2
UCL Player Of Week: 2
PL Player of Month: 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom