Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

and we have owners like FSG, who dont give a *** about this Club. Linda Pazzuti is a die hard LFC fan, nadhani J.W. HENRY bought the club kama zawadi tu kwa Linda. they've been here for 7 years na hakuna chochote walichokifanya kwenye club (on pitch) zaidi ya kombe moja la Carling Cup na kumaliza nafasi ya pili. Top reds watakwambia FSG waliiokoa Club from liquidation na wameongeza thamani ya Club. Liverpool has more than 500million fans world wide, so kuongeza thamani ya club ingekuwa ni rahisi kwa kila owners. FSG have failed. Simple.

Torres/Meireles/Suarez/Sterling waliondoka LFC siyo kwasababu ya pesa but walikuwa na ambition, na wote wameshinda makombe huko walikoenda, and sadly Sterling is about to win the EPL this season. Coutinho and Can are leaving for the same reason. Mane/Salah/Firmino will leave aswell. the you have Moreno who is playing so good kwa sasa, he's selling his profile na kama akipata offer nzuri kutoka spain/france/germany, he'll leave. last summer alipata offer kutoka inter milan na roma, imagine with his current form atapata offer ngapi?

we scrapped top four last season, we needed to go big kwenye TW, ili kucement our place kwenye Top 4, but surprisingly we managed to have the worst transfer window tangu Club ianzishwe, on top of that we failed totally to address our graling weaknesses. FSG/Mike Edward fooled the fans kwa kumbakisha Coutinho, that was the only reason to cover utumbo walioufanya kwenye TW. we bought Robertson ambaye kukaa hata Bench ni mtihani kwake, and spent 40m on OX ambaye anaazia bench nyuma ya kina Milner (point ya kumsign ilikuwa ni ipi?), loaned Origi and kept Dominic Solanke..solanke has potential but hakutakiwa kuwa ahead of Origi (another disasterclass from Klopp/Edwards).

a good LCB and a complete CM, would make us compete this season, but again we're out here trying to scrape top four, and if we dont win our next 3 games we'll be out of the top four race by Xmass.

Naby Keita watching us right now, and wondering why he chose us over Pep's city? and why he didnt pick up the phone when Segura (Barca's recruitment Director) alivyokuwa anampigia wakati yupo melwood anafanya medical. feel for him, another good CM anakuja kuwaste his career playing with Henderson and Milner in the midfield.
 
am giving Klopp 2 windows (january and next summer) to fix the defense. failure to do that, and i'll be full Klopp out.

man, i thought this man ndiyo angeiokoa LFC from the midtable status. but again i was so wrong. he got poisoned by FSG and now ameanza kurealise shimo alilojichimbia kwa kukumbatia bums na policy za kipumbavu za FSG.
 
i bet Top reds are fuming right now..

tukishinda against Huddersfield watakuja na theory ya "support the team" and be out in full force. and kwenye hii platform ukii-crticise team unaonekana huipendi club wala huitakii mema. as if being a good supporter is watching henderson and lovren howlers every damn week.

i mean, shabiki gani wa mpira duniani anayeshabikia big club atataka first eleven yake iwe na wachezaji aina ya Henderson/Lovren/Mignolet/Klavan/Milner etc? ni sawa na barcelona fans wafurahie kuwa na wachezaji aina ya Andre Gomes/mathieu/Douglas etc kwenye team yao. its unacceptable.

and football is not your ideal sport if you're living your life believing henderson and his fellow bums are good players and rightful enough to play for Liverpool football club, 8th richest club in the world with over 500m fans.
 
I've not seen you for so long....thanks for coming back.
Hakika timu inachosha sana. Sijui kwa nini alimuuza Sakho na Lucas pia wakati hana natural DM
Kati panabaki na shimo kubwa kiasi kwamba CB wanaonekana wabovu kweli kweli.
Sijawahi kuona Captain wa ajabu kama JH..... Captain asiyejua kupanga wala kukemea watu wake. Simuoni Carragher wala Steven Gerald.
Hakika RB atabaki kuwa kocha bora wa miongo hii miwili.
Lucas amekuwa mchezaji muhimu sana kule Lazio,Wanafanya vizuri kwenye Serie A na Uropa League
 
Timu mbovuuuu ulaya nzimaa ni Liverpool ...yani hamna maana qabisa ..mnaquja pigwa nne mtazani mmesimama uwanjani

Timu mbovu qocha m'bovu menejimenti mbovu ..wachezaji wanaqimbia qimbia tu uwanjani qama hawana aqili

Qwa mpira m'bovu mlocheza na Toti hata mqiqutana ma mbao fc mnapigwa nyingi mnooo
 
Sisi sio Arsenal! Hatushiriki Ligi Kwa Kumfanyia Mtu Favor....
By The Way! Hivi Bado Nyie Shelshit Munatamaa ya Ubingwa?
Kwahiyo afungwe Spurs ili uwe Bingwa ama?
Wewe qama umeshindwa qumfunga spurs unategemea nin qwenye epl. .
 
Klopp You Must Get Fvcking [HASHTAG]#Out[/HASHTAG] From our Club

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]

#KloppOut

Klopp is fvcking Genius...
FSG do something! Klopp must Fvck Off now! It is enough...
Lazima upate aqili mwaqa huu

Njoo The Blues ..Blue team ..nafasi bado iloo..
 
am giving Klopp 2 windows (january and next summer) to fix the defense. failure to do that, and i'll be full Klopp out.

man, i thought this man ndiyo angeiokoa LFC from the midtable status. but again i was so wrong. he got poisoned by FSG and now ameanza kurealise shimo alilojichimbia kwa kukumbatia bums na policy za kipumbavu za FSG.
Mkuu una moyo sana wa kumvumilia, mi sioni kama jamaa ana haja ya kubaki, he had that chance ktk hizo summer window mbili zilizopita, lakini hakuthubutu hata kuonesha kua ana solve defensive pbm kwa kusajili any top quality CB kwa pesa badala yake akaleta Matip kwa free na Klavan aliyejichokea. Mbaya zaidi summer hii wakati tunalilia beki ye anatoa pnd mil 35+ kumnunua Ox. Hivi uyu ni genius na top class manager kweli?
 
"Ronald Koeman out as Everton manager following poor start to season"

Everton Wameshafanya Maamuzi Bado Liverpool Wao Wanajiskilizia na kurelax..
All in all Klopp Days are Numbered...

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
 
Jürgen Klopp on Lovren: "If I had been on the pitch, Kane cannot get the ball"

Kumbe Huyu Mpumbavu Anajua Kuwa Lovren ni Chandarua lakini Ubishi Wake Was Kihitler ndiyo Unamfanya Ajigharimu Kibarua Chake...

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
 
After Defeat: Klopp backtracked a little after that and took responsibility;
↓↓
"Now we have to prove we can fix it."

But we are beginning to doubt the sincerity of words like:
↓↓
How and when?

[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
 
Klopp is out of his depth..

Alipoondoka bogerman, it was hard to think kama kocha mwenye pedigree ya klopp wouldnt do much better, but in hindsight it turns out that we were outrageously blind in our optimism. Klopp is german version of Brendan. Wote wako deluded, stubborn and hawana tactical nous of top managers..problems zilizokua under brendan zipo apparent under klopp na i think we are becoming even worse.

Joe gomez kabla ya msim kuanza alitakiwa kua out on loan as he was returning from two years lay-off. But due to historical incompetence of klopp wa kutosajil atleast 2 cbs, it is not irrational to suggest kua gomez should be our first starting cb now.

Mignolet alitakiwa kua released instead kapewa new contract.. brendan mwenyewe aliemsain lovren alimdrop lovren ila klopp gave him an improved new contract(am lost for words) Henderson alitakiwa kua bench players since 3 years ago, milner alitakiwa kua in reserve team or u23 kbs, but msim wa 3 now under klopp and these guys are mainstay in our squad, this is beyond negligence, it is madness. Basically these guys form a spine of our team. It is sad state of affairs siamin kama we have stooped this low.

Our attack is either brilliant or mediocre, hamna middle ground. Na this ni kutokana na kutokua na focal point pale mbele. Firmino can be suarez in one game and voronin the next game. It was apparent kua we needed an established number 9 ila due to delusions za klopp, aliamin few preseasons outings za solanke kua we have a proper striker..

Now tuna one dimensional attack na iko predictable sana. Tunategemea salah kufanya his runs in behind. Iyo ndo trick pekee tulionayo. Firmino is not worrying the defenders as mda wote yuko deep. No wonder hatufungi now.

Klopp ameongeza variety ya style za ushangiliaji, idadi ya majeruh na idad ya magoli ya kufungwa..hamna kipya if we are being brutally honest.

Na before watu kuja na zile excuses kua ni FSG ndo wanamfelisha, ask urself this question, ni manager gani anaejielewa anawez kua na faith in the most error prone goalkeeper in epl(mignolet), one of the worst cb to play for lfc(lovren) halaf kua na weak captain and weak player kama hendo leading ur team..that's not fsgs fault...ni uzembe wa makocha tulio nao and please someone tell me what is buvac doing at the club now. And who gave him jina la brain?
 
spot on, chief.

let's give this team to the legend himself RafaB and bankroll him with a hefty 250m quid and see how his magical wand unfolds in 2 seasons. i assure you, and without a shadow of any doubt, we will be perennially rubbing shoulders with the Barcelonas of this world at the top end of all piles (EPL, UCL - name it) across Europe!

he needs no lecturing. this RafaB. he knows what great coaches naturally do - which is to build a team from the back.

1st things 1st , he'll shelve that entire bunch of comedians that Klopp calls defenders...the whole entire stinking lot!
then, in the centre of the pitch the only survivor is likely to be Cou.
upfront, the two speed merchants (Mo & Mane) are likely to survive... but just!
the icing on the cake...you can bet your own wife's arse he'll add a couple of 20+-goal per season poachers!
that's the master of Europe. RafaB himself.

note: the bulk of the 250m to be recouped from sales of the existing bunch of mediocres!
 
am giving Klopp 2 windows (january and next summer) to fix the defense. failure to do that, and i'll be full Klopp out.

man, i thought this man ndiyo angeiokoa LFC from the midtable status. but again i was so wrong. he got poisoned by FSG and now ameanza kurealise shimo alilojichimbia kwa kukumbatia bums na policy za kipumbavu za FSG.
hell NO...sorry mate.
am giving Klopp no more fvcking window. the guy has completely lost it. yes.
he simply doesn't have any plan B.

as one of the LFC Echo columnists has correctly pointed out, what Klopp is doing is nothing but "insanity" ....which is all about doing the same thing again and again expecting different results!!
 
Ila klopp anafeli sana.. Tokea aje liverpool mimi sijawah kuona formation tofaut na hiyo 4-3-3 ambayo kwa sasa hivi ishafeli.. Na his same old tactics..

I wonder Lovren yuko kwenye hali gani sasa hivi kutokana na matisho anayopata+matusi kule twitter..btw!! he wanted all this by himself
 
Baada ya Kupata Malalamiko na Lawama Kutoka Media na Social Networks! Jürgen Klopp Afanya Usajili Kwa Kumpa Mkataba Ben Woodburn.

"Ben
Woodburn has today committed his long-term future to Liverpool Football Club by signing a new contract."

Huyu Bwege Anazidi Kutuonesha Upimbi Wake...

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]

thumb_50281_default_news_size_5.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom