Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Klopp is fvcking Genius...
FSG do something! Klopp must Fvck Off now! It is enough...
FSG do something! Klopp must Fvck Off now! It is enough...
Mchawi wa timu yenu ni Klopp, hata Brendan Rogers hakuvurunda kiasi hiki, nashangaa english media azimpi pressure ya kutimuliwa include liverpool board.K maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaäamaaaaaaaamaaaeeeeee, chama linadoda hadi hasira aiseee daaaaah
Mkuu Mbona umemchoka Kloop.....malafyale yupo wapi aokoe jahazi.[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
Nimemwona akipita hapa kitaa akiwa amefurahi sana. Anacheka na kutabasamu tu. Huu ni msimu wake wa kufurahi.Mkuu Mbona umemchoka Kloop.....malafyale yupo wapi aokoe jahazi.
Ahahaha na sisi tulilia miaka 20
Sasa tunacheka tu
Avumilie
Walitucheka sana jana ngoja leo waipate pate.Ukweli sisi MAN U tulifungwa, lakini walichofanyiwa Liverpool, Mungu anaona !!!
Kloppin[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
Hahahaaaa asa kwani yeye ndiyo upo uwanjani.Ebu pambana hapo.....cheki unavyofungwa