fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Mbona jamaa mzuri tu...ila kwa kukamia mechi ya chelsea na man u hajambo...!!siku huyu jamaa akipigwa benchi live itashinda ushindi mnono
![]()
Mbona jamaa mzuri tu...ila kwa kukamia mechi ya chelsea na man u hajambo...!!siku huyu jamaa akipigwa benchi live itashinda ushindi mnono
![]()
Ucijali mkuu Mane anarudi next week. Atacheza defence na kuattackSo Sad! Klopp is taking our club backwards.
He is the most over-rated manager in football history. He only know 1 tactic and that is attack. When this tactic is not working against good defensive teams, he doesn't have contigency plan.
He is building a team with below average defenders who can't tackle, intercept, mark the players, clear threats from air or set pieces and make repetitive silly errors.
Even 3 years old child can see we need a CB in summer and he is contented with his defense. If he doesn't sort out this shambolic defense he should be sacked by the end of the season.
Enough is enough!! Klopp out!!
Mkuu useseme ivyoSio Kuekwa Benchi tu...! Bali Nitafurahi iwapo nitasikia Huyu Jamaa Ameshakufa kabisa..
moja ya matatizo makubwa timu ilipokuwa chini ya BR lilikuwa defence mbovu.Ungese wa Klopp unaonekana Wazi Kutuharibia Timu yetu na Kudharauliwa na Mpaka Walioanza Kupenda Mpira 2017...
Hill bwege Lazima Lisepe...
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
unless Klopp ana siri ya ugoni dhidi ya FSG, inabidi waanze kumwonyesha sura ya kazi sasa. fast!Tuangalie Michezo hii Mitatu tu:
- Kwenye Mchezo Tulipocheza na Watford Tuliconced Magoli 3.
- Kwenye Mchezo Tulipocheza na Man City Tuliconced Magoli 5.
TOTAL: 3 + 5 + 4 = 12
- Kwenye Mchezo Tulipocheza na Tot Spurs Tuliconced Magoli 4.
Kwahiyo Katika Michezo Mitatu Tumefungwa Magoli 12... Ikisha Still Klopp Anashindwa Kurekebisha Tatizo Halafu Anatokea Mtu From Nowhere anakwambia Klopp is Genius... Ridiculous!
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
moja ya matatizo makubwa timu ilipokuwa chini ya BR lilikuwa defence mbovu.
kocha yeyote mwenye akili sawa angeanza walau kushughulikia tatizo hili. Klopp hajafanya kitu - ile back 4 ya jana kwa mfano ni 1 tu ndiye kamsajili yeye nyambafu.
siyo rocket science kwa kocha yoyote mwenye akili sawa kutambua kuwa timu bora hujengwa kuanzia nyuma kwenda mbele. Klopp na mwenzie Wenger wanafanya kinyume chake....afu mtu aendelee kudanganya watu eti kuna siku mafanikio yatakuja. my foot!
waulizeni Arsenal.... kutoka "the invincibles" na sasa kuishia kuwa "the invinsibles"!!
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
unaona anavyotaka kutufanya huyu fala?Na Kuna Kila Possibility ya Kuwa Klopp hana Kabisa Mpango Was Kuifumua Na Kuijenga Upya Defence kwani Jana Katika Post Match Press Conference Alipohojiwa Kuhusu Defence alisema Kuwa Anamtrain J. Gomez Kwa Ajili ya Centre Back na Wala si Kusajili Beki! Huenda Kwenye Next Game Akaanza Kucheza Kama Beki Wa Kati..
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
Klopp fatherfvucker, i love you.Soon everyting will be Ok! Coz I hope This Motherfvcker the So Called Klopp will have Two Options; Either to Sort things out! Or to go away to leave our Fvcking Club alone..
Ashawafanya yani anaendelea kuwafanya tu, klopp fanya hawa watu aiseeee. Usinipopoe plzunaona anavyotaka kutufanya huyu fala?
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
Asisikilize maneno ya wanaowashwawashwa.Nasema Klopp chapa kazi.
Me sitaki stress mkuu ndio maana nimeamua kukaa kando, hiyo january sidhani kama atasajili ataishia kusema ni vigumu kupata quality player kipindi cha january.Mkuu, mi mwenzako toka ile game na Newcastle nilishaapa kutokuangalia game za Liverpool hadi January kwa sharti moja tu endapo tutasajili beki.
Na kama hatosajili beki basi sitoangalia tena game za Liverpool hadi msimu ujao 2018/19 hapo August mwakani.
For sure klopp analeta mambo ya kisenge haiwezekani kuwa halioni tatizo la defense wakati lipo so obvious.
Klopp fatherfvucker, i love you.
Muwe na huruma aiseee
Wenger chapa kaziNasema Klopp chapa kazi.
Sister acha uchochezi...unazani klopp na Wenger wakitoka Epl points sita tutapatia wapi waache wafanye kazi also tuchukue point zetu kiroho safi kabisaAshawafanya yani anaendelea kuwafanya tu, klopp fanya hawa watu aiseeee. Usinipopoe plz
kwa kuchukua UCLKwakutokuchukua Epl.