Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya Kupata Malalamiko na Lawama Kutoka Media na Social Networks! Jürgen Klopp Afanya Usajili Kwa Kumpa Mkataba Ben Woodburn.

"Ben
Woodburn has today committed his long-term future to Liverpool Football Club by signing a new contract."

Huyu Bwege Anazidi Kutuonesha Upimbi Wake...

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]

View attachment 617043
Hahahaaa huyu dogo mkataba ulikuwa unamhusu muda mrefu .... unaweza kuta January akampandisha dogo Rhian Brewster kujaku-cover nafasi ya ST
 
Na Jinsi Brewster anavyopewa Promo Kule LFC.com ! Sasahivi utakuja Kutia Klopp anasema "We have added Brewster in senior team, so we have enough depth no need to sign striker"......

Hivi Solanke, DS, Origi na Brewster unathubutu mbele ya Watu wenye Akili Kuita ni Depth????

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
 
IMG_2673.jpg
 
Mkuu una moyo sana wa kumvumilia, mi sioni kama jamaa ana haja ya kubaki, he had that chance ktk hizo summer window mbili zilizopita, lakini hakuthubutu hata kuonesha kua ana solve defensive pbm kwa kusajili any top quality CB kwa pesa badala yake akaleta Matip kwa free na Klavan aliyejichokea. Mbaya zaidi summer hii wakati tunalilia beki ye anatoa pnd mil 35+ kumnunua Ox. Hivi uyu ni genius na top class manager kweli?

To be honest wouldn't give a toss kama Klopp akipigwa chini hata sasa, ikiwa tu atakuwa replaced na Manager wa calbre yake.

And yes, Klopp ameruin our only chance ya kurecover na kurudi kuwa big club kwasababu ya his ego/stubbornness kwenye TW iliyopita, but kigezo hicho hakinifanyi mimi kuwa blind na fact kuwa our owners are FSG.

People who are full Klopp Out wanasahau the fact kuwa owners wanaorun hii Club ni FSG (law-balling merchants). i mean do you expect kuwa wakimfukuza Klopp, watamleta Allegiri/Carlo/Sarr/Enrique etc? no way man. watu wanatakiwa wafikirie kuwa Klopp akiondolewa now, who will take over? and forget about Benitez, he'll never work with FSG, Gillet and Hicks poisoned FSG kuhusu Benitez. so RB kuja LFC ni mpaka kuwe na new owners and not hawa tulionao sasa. FSG had a chance to sign Benitez kipindi kile walichonunua Club, but they didnt approach him, pia walikuwa na chance ya kumsign Benitez walipomfukuza Daglish, then ikaja nafasi walipomfukuza Rogders, na kipindi hiki a lot of good managers walikuwa available (Carlo/Klopp/RB etc), and guess what mtu wa kwanza kumfuata alikuwa ni Don Carlo, na alikubali kuchukua kazi kwa sharti la kuchange spine ya team ambapo kingehitajika kiasi kikubwa sana kuibadilisha team, kama kawaida FSG wakakimbia. later wakafanikiwa kumshawishi Klopp kuja LFC, and sadly Klopp turned to be a "yes man".

Klopp is partly responsible kwa blunder za msimu huu, but kama hudhanii kuwa FSG ni moja kati ya sehem ya matatizo kwenye Club, basi utakuwa unajidanganya sana. club ina personnel problems, people like MIke Edwards hakutakiwa kuwa Sports Director wa Club aina ya LFC, then CEO ambaye anashinda twitter tu, and then mtu anajiuliza why we're in crisis right now? Club ipo hovyo kwa kila department. you can blame Klopp kwa ubovu wa team ndani ya uwanja kwasababu ni wajibu wake but tusisahau pia kuna amateur people ambao wanaiongoza hii club.

am not against na watu wanaotaka Klopp aondoke, (Kama nilivyosema huko juu), but sipo tayari kuendure maumivu mengine ya kuwa na mid-table managers, FSG wakimfukuza Klopp sahiv, best options ambazo watakuwa nazo ni kina Marco Silva, Martinez, De boer, and bunch of average managers from Spain/italy/france. na most likely scenario itakuwa ni STEVEN GERRARD (Give it to Stevie till the end of the season), thats the most scariest scenario kama Klopp akifukuzwa now, FSG cant convince managers kama Sarr/Jardim to join the Club, Carlo is free again but anafanya kazi kwenye big budget, Blanc/Tuchel are shit.

so kama nikisikia FSG are approaching managers like Sarr/Jardim/Allegri/Carlo then wont be having problems na Klopp Kuondoka, but kama ni kina Marco Silva then i'd rather have Klopp till the end. i've already witnessed a manager who couldnt even attract a fly to join the club and instead seeking help from the club's captain (Stevie) to pursuade top players to join the club, na pia nishashuhudia a manager who signed Henderson/Downing/Adams/Enrique etc and without forgeting the owl faced manager, managing Liverpool football Club. dont want to go back kwenye hiyo dark era man. though Klopp ana ego/stubbornness lakini ana pulling power and good players wants to play for him, thats why i'm giving him another 2 windows to sort his ego out.

my biggest problem with Klopp ni ignoring our glaring weaknesses and putting his faith to crap players na kuamini kuwa he can turn water into milk, but now am glad kwasababu ameshagundua kuwa alifanya makosa kumuamini Lovren, though imemchukua 2 years kugundua hilo, but thats pleasing.
 
Mimi nimekupata uzuri Mkuu, ila to me FSG and Klopp wote ni tatizo kwetu na ndio wametuweka hapa. Kuna mahali I can't blame FSG naona Klopp has to be blamed bila kupindapinda mfano: Klopp anajua kabisa we real need a CB, anapewa pnd mil 35+ anaenda kuleta Ox mtu ambae hata hatuna huitaji nae saana ktk team yetu, je hapo tutawablame FSG kua hawakumpa pesa?Kwanini iyo pesa asingetafuta hata CB yoyote na kujaribu ku solve tatizo, maana mimi huwa siamini kua eti kukiwa na price kubwa ya CB lets say mfano VVD basi ndio eti uyo CB atakua bora, coz tumeona CB kibao wanasajiriwa kwa bei ya kawaida tu na wanatengeneza majina. Kingine manager ukishajua kua wamiliki ni tatzo au wagumu kutoa support inabidi uji sort na kufanya kazi kulingana na environment ngumu waliyokutengenezea eg. RB anafanya kazi ktk mazingira magumu sana under Mike Ashley but ameji tune kulingana na hayo mazingira, tazama yuko na average players wa bei chee but ka team kanapambana unaweza sema hajatoka C'pship sasa uyu mjerumani kwanini abadiliki na kufanya kazi kulingana na mazingiara magumu wanayompa FSG, ndio hapo sasa ana shida sana na CB anapewa pnd mil35+ unaleta OX asiyehitajika wakat uo unadai upewi ushirikiano mzuri kipesa
 
My biggest problem na Klopp ni kuignore the fact kuwa tulikuwa so short kwenye backline. na kama umeangalia my previous posts tangu TW ifungwe, kitu ambacho nimekuwa nikimcritise sana klopp ni kuhusu blunder aliyofanya kwenye usajili. this is all on Klopp (been saying this tangu siku ya kwanza). and Ox inawezekana akaja kuprove kuwa good signing but honestly haikuwa signing tuliyokuwa tunaiihitaji, considering Club ingeweza kumnunua Davnson Sanchez, Manolas, Howedes kwa hicho kiasi.

but, to be fair kwa Klopp, he did all the ground-work kuwaconvince players kuja LFC, but negotiations zinafanywa na FSG, na the minute ishu ya VVD ilivyoleak nilijua the deal was dead and buried, hakukuwa na njia nyingine tena, then imekuja kujulikana baadae aliye-leak ishu ya VVD ni Tom werner (FSG), and then quickly wakarelease statement kuonesha kuwa they've ended interest kwa VVD, and mind you Southampton were asking for 76m, hii ilikuwa ni ploy tu ya FSG kukwepa kulipa hicho kiasi kwasababu at first walijua watamuuza Coutinho for 150m, but Klopp refused. no way FSG wangelipa 76m for a player bila kuuza mchezaji. na hata kama watanunua mchezaji yoyote yule January ni kwasababu watakuwa washakubaliana deal ya next summer baina yao na Barcelona/PSG kuhusu Coutinho. wont be suprised kama hicho kiasi cha Coutinho kitatumika pia kumalizia deni la Keita. and its not a rocket science kama wangepay-up kwa Naby Keita kama Leipzig wanavyotaka angekuwa anacheza now pale LFC,.

namlaumu Klopp kwa "yes man", namlaumu klopp kwa kuona kuwa ni beki mmoja tu duniani ndiye bora kuliko kina Lovren, namlaumu Klopp kwa kugoma kuangalia options nyingine baada ya kuwa wazi kabisa kwamba VVD asingeweza kusign, namlaumu Klopp kwa kuwaamini bums, namlaumu Klopp kwa kuwa butu katika maamuzi tofauti na Dortmund, namlaumu Klopp kwa henderson kuendelea kuwa Captain wa hii team, namlaumu Klopp kwa ajili ya kutokuwa na plan B kwasababu ya wachezaji alionao kuwa average (sababu inayomfanya Klopp ashindwe kuswitch formations kutoka 4-3-3 kwenda 4-2-3-1, ni kwasababu anajua wazi kuwa backline na midfield ni mbovu so team itakuwa exposed zaidi. and this is his fault for trusting shit players) but i'd rather stay with this deluded Klopp than having Marco Silva and Martinez managing this football club.

Benitez anamanage Newcastle United, ambapo pressure na demands za fans ni ndogo kuliko Liverpool, na ana excuse kubwa sana ya kuto-sign top players kwasababu newcastle united hawana bigger profile and ni mid-table club, so hayupo entitled sana kudeliver kutokana na aina ya players anaoweza kuwapata, Newcastle utd's aim ni kubaki kwenye premier league na kuendelea kupush kila msimu, but LFC aim ni kuwin trophies na kucheza CL on daily basis. Benitez didnt last long at Madrid/Chelsea/inter etc kwasababu ya demands za fans kuwa kubwa. Koeman amefukuzwa Everton kwasababu alipewa a big chunky ya kuspend last summer but ameshindwa kudeliver, but kama everton ingekuwa haijachukuliwa na Moshir, Koeman asingefukuzwa, kwasababu kusungekuwa na budget kubwa ya usajili, thats why David Moyes ameicoach Everton for 7-10 years na anaonekana legend kwa kumaliza nafasi za 7-8 kwa karibia kipind chote alichokuwepo pale Everton kutokana na budget aliyokuwa anafanya nayo kazi.
 
Ridiculous! Those Fvcking FSG baada ya Kukataa Offer ya £1.3bn na Kudai Wanahitaji Bei Zaidi! Hatimae Mama Amanda Staveley anaewakilisha Dubai Investment decided to give them £1.5bn to buy LFC but still these Fvcking owner turn down the offer...

NOW I'M TOTALLY CANCELLING [HASHTAG]#KLOPPOUT[/HASHTAG] AND TURN TO [HASHTAG]#FSGOUT[/HASHTAG] ...

Kwa Hakika Hawa New Owners iwapo Wataikamata Timu hatutakuwa tena katika Level za Waingereza kwenye Suala la usajili... But our level will be PSG and RM to fight for Transfer Market...

But American Based Group the so called FSG has no Difference with Arsenal's Majority Share Holder Kroenke whom olly cares about
his business and care nothing about Trophies.

So, Njia Pekee Kwa sisi Kuwa Hai ni Hawa Wawekezaji Wapya Waingie ili Tuwe na Big Budget ya Kutuwezesha Kuingia Sokoni
..

[HASHTAG]#FSGOUT[/HASHTAG]

JS132502730.jpg
 
View attachment 619130

They bought Liverpool for 300m and kwasasa nahisi wanataka kupata faida ya 2billion. kwasababu mpaka sasa wameshakataa offer 3, moja kutoka China na mbili kutoka middle east, but kuna tetesi kuwa watu wengine wa middle east wanajiandaa kumake a bid.

am not suprised na hawa yanks, kwasababu Hicks and Gillet walikataa offer ya Sheikh Mansour (Man city owner) kipindi kile, na kukubali offer ya yanks wenzao. now look at Man City, their game against Man utd, ilikuwa ni kama Chelsea vs Fulham, but kwasasa game yao na Utd ni moja kati ya game kubwa duniani. thats what money does to football.
 
Labda Tutumie Njia iliyotumika Kuwaforce Gilley na Hicks Kuiuza Timu ili na Hawa Jamaa Wawe Gorced na Kucell Timu.... Cozi Hawa Jamaa Wamekuwa Wakorofi sana Kwenye Negotiation...
 
Our Line-Up today!

Liverpool:
Mignolet, Gomez, Matip, Lovren, Moreno, Henderson, Milner, Wijnaldum, Salah, Firmino, Sturridge.

Subs:
Karius, Grujic, Klavan, Oxlade-Chamberlain, Can, Robertson, Solanke.

Combi ya Bobby-DS-MS !!!! Huu so utani huu?

Na Kama Kawa Ninawaona Lovren na Hendo Ndani ya Nyumba...

OK! Klopp
Endelea Kucheza na Hisia Zetu najua unaringia Backup ya FSG.

[HASHTAG]#FSGOUT[/HASHTAG]
 
Najua Klopp leo atajikakamua na Scums wake ili apate Kuwafools Wale Blinded Klopp-Fanboys...

BTW: Points 3 ni Muhimu..
 
Naona WanaKop Wameuhama Uzi KabisaKabisa... Tumebaki Wazalendo tu ambao Hata Kama Timu itashuka Daraja Basi Tutashukanayo...

[HASHTAG]#FSGOUT[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom