Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu mwenye kufahamu link nzuri isokuwa na ads nyingi ya kuangalia hii game tafadhali anifahamishe.
 
4-4-3 kama Kawaida!
Kwa Bahati Mbaya Leo Tutamkosa Gini Coz Ameumia Goti (Knee Injury)
Mazoezini Hapo Jana.
kaka hivi hatuwezi kucheza 4-1-4-1...maana kwa spidi ya hawa Tote kama mvua...kwa kweli hii 4-3-3 naona timu pinzani zimeshatujulia
 
Klopp is Genius.......
Watu wengine Vichaa Kweli...
Mtu anatuulisha eti wanamwita Genius..
 
Klopp is Genius.......
Watu wengine Vichaa Kweli...
Mtu anatuulisha eti wanamwita Genius..
hawa Tote hawajawai kumfunga Klopp leo naona wameamua kulipisha maana tangu 2012 sidhani kama wamewai kuifunga Liverpool
Ila kwa kweli defence ya Liverpool ni bure kabisaaa na hii zonal marking haituletei faida yoyote...
 
K maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaäamaaaaaaaamaaaeeeeee, chama linadoda hadi hasira aiseee daaaaah
 
Kuna Mshabiki Mmoja Humu Huwa Anaangalia Mpira Kwa Kutumia Miguu badala ya Macho! Kwahiyo Kila Msimu Huwa Anajitangazia Ubingwa..
Na Mara hii Pia Anatangaza Liverpool ni Bingwa! Sijui Bado Ana imani hiyo?
 
nadhani lile goli la mwisho la kipind cha kwanza ndio limearbu hii mechi liverpool walikuwa wamesha gain.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom