Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sister acha uchochezi...unazani klopp na Wenger wakitoka Epl points sita tutapatia wapi waache wafanye kazi also tuchukue point zetu kiroho safi kabisa

Liverpool Mbovu lakini hata na wewe Chelsea unahesabu za Kuchukua Points Kwa Liverpoo?
 
Sister acha uchochezi...unazani klopp na Wenger wakitoka Epl points sita tutapatia wapi waache wafanye kazi also tuchukue point zetu kiroho safi kabisa
Hahahahaa utashangaa wewe ndiyo unawapa point 6, mpira si wa kuutegemea kihivyo matokeo mpaka dakika 90.
 
Ngoja tuone.
Yaani ndio itakavyokuwa liver alitoka kupigwa tano na city ikawa haina jinsi Leicester lazima afe na man u kaaribu game mbili mfululizo hawezi kukubali kuharibu ya tatu
 
Daa!! Bora ukutanae na watu wasiojulikana kuliko kuipenda liverpool. Ila ndo tutafanyaje sasa na ndo tunaipenda.
Klopp please usimpange tena moreno na Lovren...*** them all
 
siku huyu jamaa akipigwa benchi live itashinda ushindi mnono
images

Kosa lingine kubwa linalojificha chini ya mgongo wa Lovren..
The worst captain so far in EPL...jamaa anabebwa sana cause ni English player...
i think matatizo ya Liverpool yanaanzia kwa huyu jamaa...
 
Ukiangalia game nyingi tulizoshnda kwa clean sheet.. utagundua kwamba ni kwasabab zile team zilikosa shots on target zaid ya 2 ama 3.. e.g Arsenal., hata hao Maribor

Hata ile droo na Man U ni sababu hiyo..

So this clearly shows that Liverpool wakishambuliwa sana kufungwa bao kama hizo ni inevitable

Mignolet OUT
Lovren OUT
Henderson OUT

Moreno nae kaanza kudrop tena... Big cause ni sababu baadh ya wachezaj wanakua kama vile hawapo uwanjan

Tumsubiri Lallana.Gini
Rotation ya middles iwe hiyo halaf Henderson asianze
 
Mweeee na huu ukayumba ngoja nitafute mkalimani, anybody please!!

Jamaa kasemaje hapo!!

Ni sawa na Kusema hivi: "Baharia Nitamchana Kwa Makavu"
Ukitazama kusema Hivyo ni Ukayumba coz hakuna Lugha Hiyo Katika Kiswahili... Lakini si Tunafahamiana!!!

Hata Katika Kiingereza nako pia Hakuna Lugha ya Antagonistic Theory, Conspiracy Theory, Domina Theory, Lesse of two evils theory... lakini Still Tunatumia na Tunafahamiana....
Got it!!
Oh No! Acha ni Ukayumba huu...
 
Kosa lingine kubwa linalojificha chini ya mgongo wa Lovren..
The worst captain so far in EPL...jamaa anabebwa sana cause ni English player...
i think matatizo ya Liverpool yanaanzia kwa huyu jamaa...

Huyu Jamaa Tokea Aje Liverpool Nimekuwa Sikubaliani Naye na Nimemchukia Na Kumpinga Kwa Nguvu Zote...

Lakini Last Season Kuna Watu Walikuwa Wakali Mno unapomponda Huyu Trash...

Huenda ikawa mpaka Leo Bado Wanamsifu na Kujiproud Kwa Captain Wao Huyu...
 
Ukiangalia game nyingi tulizoshnda kwa clean sheet.. utagundua kwamba ni kwasabab zile team zilikosa shots on target zaid ya 2 ama 3.. e.g Arsenal., hata hao Maribor

Hata ile droo na Man U ni sababu hiyo..

So this clearly shows that Liverpool wakishambuliwa sana kufungwa bao kama hizo ni inevitable

Mignolet OUT
Lovren OUT
Henderson OUT

Moreno nae kaanza kudrop tena... Big cause ni sababu baadh ya wachezaj wanakua kama vile hawapo uwanjan

Tumsubiri Lallana.Gini
Rotation ya middles iwe hiyo halaf Henderson asianze

Hata Hao Lallana na Gini Warudi, Kwa Ninavyoujua Ujinga Wa Hili Klopp basi Hendo Ataanza kama Kawa..

[HASHTAG]#GetFuckingKloppOut[/HASHTAG]
 
Huyu Jamaa Tokea Aje Liverpool Nimekuwa Sikubaliani Naye na Nimemchukia Na Kumpinga Kwa Nguvu Zote...

Lakini Last Season Kuna Watu Walikuwa Wakali Mno unapomponda Huyu Trash...

Huenda ikawa mpaka Leo Bado Wanamsifu na Kujiproud Kwa Captain Wao Huyu...
Chamberlain Ox hakucheza jana
 
JK si mwalimu wa kuchukua vikombe. JK ni mwalimu wa kuibakisha timu ligi kuu,basi.
 
Good manager build his team from the back, that's where the spine of the team is made and not otherwise. Pep Guardiola spent 90% of his transfer budget kwenye backline tu ili kuimplement his own system na kuifanya team icheze vile anavyotaka yeye, and now angalia team yake inavyocheza, very good attacking football.

Meanwhile, Klopp anataka kuimplement his attacking football na bums kama kina Henderson/Milner kwenye midfield, na Lovern/Klavan/Mignolet kwenye back four. Henderson cant make a foward pass to save his life, cant open space, cant distribute the ball from the midfield na Klopp bado anamchezesha number 6 (shit management), a number 6 who cant defend his backline nor complement his attackers, i know it was just Maribor but look at what Emre Can did at that 6 role, he was so good, na siyo Maribor tu, Emre Can alicheza kama number 6 kwenye second round ya msimu uliopita kuanzia january, unaweza ukaona tuliconcede goals chache with him at number 6, but Klopp haoni hilo and huwa sielewi a coach like Klopp who has coached good CMs like Gundogan/Bender/Sahin etc anam-rate mchezaji aina ya Henderson. Henderson hana attribute hata moja inayomfanya aonekane ni good CM, let alone number 6.

Then you have Lovren, worst player to ever played for Liverpool, been costing this team for over 3 years, but apparently Klopp told the press to find 5 better CBs than him, good manager yoyote hawezi kuwa na CB aina ya Lovren. Mignolet/Lovren/Henderson costed Rodgers his job and it will be the same kwa Klopp kama akiendelea kuwakumbatia wachezaji wa viwango vya chini kama hawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom