Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hizo slogan za huko siasani huku ni za nini bwana. Jaribu kutofautisha platforms, sio kila kitu siasa.
Naona ushaanza kunitafuta we jamaa, nitafutie post yangu yoyote kwenye jukwaa lolote niliyopost siasa then am ready to be banned.
 
Be serious hii beki yako inayoruhusu goli 3 against Watford ukikutana na Real Madrid mtafungwa ngapi

Real Madrid kamfunga ngapi Levante?
Is Levante better than Liverpool?
Nasisitiza tena mpira hauchambuliwi hivyo
 
Nawewe usitake kutuchanganya hapa unaongea mambo gani hayo,ebu ipitie upya comment yako kuhusu ox.

OX kaikataa Chelsea
OX kakataa kubaki Arsenal
Teams hizo zote mbili zilimpa mshahara mnono kuliko Liverpool!
VVD kasema kama sio Liverpool hachezi kwingine?Unafikiri kocha angekuwa BR hawa wachezaji wangetaka kuja jiunga na project za Liverpool?
 
mkuu, usituchanganye kwa kuandika vitu vingi ilimradi umeandika.
aliyemtaja na kumfagilia OX kama superstar signing ni wewe - siyo mimi. unachokiandika hapa sasa ni tofauti na ulichomaanisha awali.

wenye hekima huwa wanasema....ukiongea sana hujifunzi vitu vipya, sana sana unarudia kuujaza ubongo wako na vitu ambavyo tayari unavijua ambavyo huzalisha usaha (infection) kwenye ubongo. jizoeshe kusikiliza wengine ili ujifunze mkuu!

namuunga mkono huyu Liverpudlian aliyekupa ushauri mujarab kwenye moja ya post zako hapo juu kuwa "Sometime Kusoma post ni raha zaidi kuliko Kupost...!".

Hauna hoja ya msingi!
Ww ni wa KUKUPUUZA tu kama hivi!
 
Real Madrid kamfunga ngapi Levante?
Is Levante better than Liverpool?
Nasisitiza tena mpira hauchambuliwi hivyo
Majogoo yanachukua ubingwa kama ulivyosema mwaka juzi,mwaka jana na mwaka huu yanachukua tena
 
Baada ya Kumalizika Kwa Mchezo Wa Liverpool vs Sevilla! Fomer Liverpool Midfielder Didi Hamann remarked "I DON'T THINK THIS TEAM IS GOING ANYWHERE"
 
BTW mimi ni Liverpool Supporter! Ninaweka matumaini ya ushindi kwenye Game ya leo! Lovren usijetuangusha tena na leo
 
As a Liverpool Supporter bado ninamatumaini ya kuondoka na Ushindi Game ya Leo lakini kwa Timu hii Mwakani Champion League itabaki Story tu Kuwa Tuliwahi shiriki....
Na Niaminini Kuwa Backline Yetu Hii Ndiyo itakayomfukuzisha Klopp Liverpool...

Klopp as long as unavyozidi Kukumbatia mibeki Mibovu basi ndiyo unakumbatia safari yako ya kutimuliwa..
 
Nilijua mpaka sasa Liverpool wameishamtwanga Burnley Magoli zaidi ya 4 kutokana na ubora wa Liverpool. Kwani wana cheza na timu inayotka kushuka Daraja.....according to malafyale na King Ngwaba.....!!!
Epl hakuna timu nyepesi.
 
Watfod aliyetushinda sisi kashabandikwa 5 kwa 0 huko... Ikisha anatokea Mtu from nowhere anakwambia tuna kikosi cha Kutwaa Ubingwa...

Man City 5 - 0 Liverpool
Watfod 0 - 5 Man City

Watfod 3 - 3 Liverpool

Ukieka Unazi pembeni, Hapo utabaini Kuwa Takwimu Zinaonesha Kumbe uwezo wetu msimu huu ni Sawa na Watfod.. OVER....
 
sjuy kwanini ila i dont see us winning this game also

Sielew tatizo n nin
9 goals scored
9 conceded

Tutegemee maajabu tu
 
Wale Klopp-Fanboys Waliokua Wakijisifia Clean sheet mbili badala ya Ushindi Sijui leo Watatuambia nini!!!!

My Take: Ninajiandaa Kisaikolojia Kumaliza Nafasi ya 6
 
extremely frustrating.....

katika mafanikio ya LFC hadi sasa sijaona difference yoyote kati ya BR na JK. mwenye kuiona tofauti ani-tag tafadhali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom