MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,581
- 11,803
Bora Can Awe anacheza BEKI wa Kati Lovren na klavan ni uupuzi
mifano unayotoa haipo relevant.Hujajibu hoja!
Juventus kafungwa 3-0 jana nae mbovu?
Soka halichambuliwi kama mchezo wa karata!
Seville kutoka nae sare siyo jambo la ajabu,tungetoka sare na Marbor ndiyo ningekuelewa!
Jmosi tukishinda utakuna hapa kuandika aya ndeeefu kumpongeza Klopp
Nasisitiza tena ktk round ya kwanza CL kulikiwa na mechi tatu tu
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Zingine zote ni UPUUZI tu
mifano unayotoa haipo relevant.
siye wengine siyo misukule wa kujilisha upepo. kwa vile eti jirani yako kalala na njaa basi na wewe ukikosa chakula unajifariji eti tupo wengi!
that's a typical mentality ya kichawi/kishirikina hata kama zana za ulozi huna....
tatizo langu lipo hapo mkuu. kwamba unadhani LFC ni timu ya kispotispoti na kuichukulia poa kama unavyofanya.Mkuu
Endelea tu kushabikia riadhaa yako na akina Usain Bolt!
Kwenye soka mhh!
Seville ni team nzuri sana sare sio jambo baya hata kidogo ingawa tulistahili kushinda
Hujajibu hoja!
Juventus kafungwa 3-0 jana nae mbovu?
Soka halichambuliwi kama mchezo wa karata!
Seville kutoka nae sare siyo jambo la ajabu,tungetoka sare na Marbor ndiyo ningekuelewa!
Jmosi tukishinda utakuna hapa kuandika aya ndeeefu kumpongeza Klopp
Nasisitiza tena ktk round ya kwanza CL kulikiwa na mechi tatu tu
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Zingine zote ni UPUUZI tu
Unaogopa jina la timu wewe sio mpira kubali tu bek ya liverpool haikuwa timamu wachambuz wengi wamelichambua hilo bek ingekaa sawa jogoo alikuwa ana mtandika sevilla vizur tu
tatizo langu lipo hapo mkuu. kwamba unadhani LFC ni timu ya kispotispoti na kuichukulia poa kama unavyofanya.
tukiendelea hivi hivi kutoshughulikia mediocrity ya defence yetu by January window, I tell you next summer Mane atatimka. needless to mention Cou!
mafanikio yanajengwa kwenye strong foundation, ambayo hatuna.Watatimka vipi wkt mafanikio yanakuja!
Keita na VVD mapema wanakuja summer ijayo!
Wanajua hawa wachezaji wapi kuna project nzuri ushahidi no OX ujio wake na VVD kusema anataka kucheza Liverpool
Katoa bao la kipuuzi sana!
Lkn tunashinda hii
11-11 Liverpool huwezi zuia kufunga
3 key defenders wa Juventus (Alves,Bonucci,Chielini) waliocheza against Barca na kutoruhusu goli kwenye mechi 2 last season hawakuwepo game ya juzi na Juventus amefungwa na Barcelona timu yenye wachezaji kama (Messi,Suarez,Dembele,Iniesta,Busquets,Umtiti,Alba)Upo sahihi
Hata beki ya Juve haikuwa sawa lkn hawaongee sana hao wachambuzi!
Beki ya Liverpool nili ilaumu sana kwa kuruhusu bao nyingi na mediocre team Watford
Lkn hizi nyingine tunawalaumu kupita kiasi!Toka ratiba itoke ilijulikana ni Liverpool na Seville ndiyo watagombea nafasi ya kwanza na ya pili!
mafanikio yanajengwa kwenye strong foundation, ambayo hatuna.
kwa jinsi nilivyozi-study arguments zako ambazo ni dhahiri zina-marginalise status ya timu yetu, sishangai ukimtaja OX, ambaye yupo very average kuchezea chama kubwa kama LFC.
hao VVD na Keita wakija na kuikuta hii mediocrity nao watasepa kama anavyotaka kusepa Cou aliyesaini mkataba mpya juzi tu hapa.
kuhusu defence yetu, JK ameshafikia ukomo wa uwezo wake kutatua tatizo lililopo.... hii imejidhihirisha kwenye post-match pressers zake anavyojiumauma. anahitaji msaada.
3 key defenders wa Juventus (Alves,Bonucci,Chielini) waliocheza against Barca na kutoruhusu goli kwenye mechi 2 last season hawakuwepo game ya juzi na Juventus amefungwa na Barcelona timu yenye wachezaji kama (Messi,Suarez,Dembele,Iniesta,Busquets,Umtiti,Alba)
Kwenye defence nakubaliana nawe,kama Klopp tangu amekuja angeweza ku-fix tatizo la defence Liverpool ingefanikiwa sana so far ameshindwa hakuna alichoongeza Klopp tangu Rodgers aondokemafanikio yanajengwa kwenye strong foundation, ambayo hatuna.
kwa jinsi nilivyozi-study arguments zako ambazo ni dhahiri zina-marginalise status ya timu yetu, sishangai ukimtaja OX, ambaye yupo very average kuchezea chama kubwa kama LFC.
hao VVD na Keita wakija na kuikuta hii mediocrity nao watasepa kama anavyotaka kusepa Cou aliyesaini mkataba mpya juzi tu hapa.
kuhusu defence yetu, JK ameshafikia ukomo wa uwezo wake kutatua tatizo lililopo.... hii imejidhihirisha kwenye post-match pressers zake anavyojiumauma. anahitaji msaada.
mkuu, usituchanganye kwa kuandika vitu vingi ilimradi umeandika.Nitajie team ambayo haina avarage players ukiwa na maana wote 11 na reserves wake wapo sawa!
Nitajie moja tu tafadhali!
Usikariri kama lzm kikosi chote cha wachezaji wa team wawe maestro!
Umtitini avarage kikosi cha kwanza Barca
Navas ni avarage kikosi cha kwanza Madrid
Fernadihno na Sterling very avarage anacheza mechi Man City
Damian wa Man U
Welbeck?
Niendelee kuwataja?Team inashinda kwa collectively effort sio huu upuuzi kama angekuja huyu na huyu tutakuwa Ok
Be serious hii beki yako inayoruhusu goli 3 against Watford ukikutana na Real Madrid mtafungwa ngapiLame excuse again
Hao watatu hawakucheza na Madrid final UEFA?Walifungwa ngapi?
Bonucci na Alves wamehama kwa hiyo ndiyo Juventus hamna kitu tena sababu ya wachezaji wawili?
Belo tumepata sare kwa team nzuri Seville.Period
Nawewe usitake kutuchanganya hapa unaongea mambo gani hayo,ebu ipitie upya comment yako kuhusu ox.Nitajie team ambayo haina avarage players ukiwa na maana wote 11 na reserves wake wapo sawa!
Nitajie moja tu tafadhali!
Usikariri kama lzm kikosi chote cha wachezaji wa team wawe maestro!
Umtitini avarage kikosi cha kwanza Barca
Navas ni avarage kikosi cha kwanza Madrid
Fernadihno na Sterling very avarage anacheza mechi Man City
Damian wa Man U
Welbeck?
Niendelee kuwataja?Team inashinda kwa collectively effort sio huu upuuzi kama angekuja huyu na huyu tutakuwa Ok
Watatimka vipi wkt mafanikio yanakuja!
Keita na VVD mapema wanakuja summer ijayo!
Wanajua hawa wachezaji wapi kuna project nzuri ushahidi no OX ujio wake na VVD kusema anataka kucheza Liverpool
Team inashinda kwa collectively effort sio huu upuuzi kama angekuja huyu na huyu tutakuwa Ok